Mkuu Mbona umeandika kama chawa wa CCM? Au wewe unatumia id ya Lucas mwashambwa?
Kwa akili kama hii sidhani kama Unaishi huko unyamwezini. Kule chawa ni marufuku…
Mzee unaelewa maana ya legacy? hata wewe au mimi tukitangulia mbele ya haki...tutakumbukwa kwa kutetea maslahi na usawa wa kitaifa au kwa kuwa chawa na kuwakumbatia wezi wanaotutawala. Uamuzi ni wako.
Ukitenda haki kwenye nafasi yako usinyanyase wengine. Hakuna atakayeshangaa hata ukitembelea mkongojo. Lakini ukiwa mbabe wa kunyanyasa wengine kama alivyokuwa Mahita, ndo wengine watashangaa kama mleta mada anavyomshangaa IGP Mahita. Maana jana alinyanyasa wengine bila kujua kwamba cheo ni...
Mkuu inawezekana tunatofautiana mitizamo. Ila kwa Tz yetu hii useme kwamba 5M ni masikini? Aisee inabidi wengine turudi shule kujifunza maana halisi ya umasikini.
Hebu jaribu kuangali mishahara ya public sector around the world. Utagundua Tz tunajitahidi.
Tuache utani 5M ni pesa ya kuishi.
Kama Naomi alimilikishwa then huyu bwana akafanya figisu, then mama apewe haki yake. Naamini huyu mama alikuwa na hati. Vinginevyo huwezi kusema uliporwa bila kuwa na nyaraka za umiliki.
Unajua pia bongo usanii ni mwingi. Mtu anaweza k
akakomaa kwamba kiwanja ni chake kumbe hana karatasi yoyote...
At least wewe unaonekana ni chawa uliyeenda shule angalau...siyo kama ndugu yetu Lucas maana hata majina ya viongozi akina Mark Rutte unajua kuyaandika vizuri
Keep it up mkuu.
At least wewe unaonekana ni chawa uliyeenda shule angalau...siyo kama ndugu yetu Lucas maana hata majina ya viongozi akina Mark Rutte unajua kuyaandika vizuri
Keep it up mkuu.
Mkuu najua wewe ni mtu wa details. Hebu tupe snapshot ya kilichotokea. Kwangu mimi waziri kama kiongozi mkubwa wa serikaki ni muhimu kufuata sheria. Inawezekana mahakama zetu zina mapungufu mengi. Lakini ndo chombo tulichonacho.
Tukiamua kuignore maamuzi ya mahakama, it will be anarchy.
Mkuu be careful with what you wish for. Kesho akitokea mwingine upande ule usioutaka...itakuwa ngumu kutetea hizi nyuzi zako. Tukitaka kulisaidia taifa letu...tunahitaji consistency. Not convenience.
Tulisema humu...JPM had his favorites. Not so much on merits but personal considerations. Leo...
Hospital kama AK, TMJ etc...target yao siyo walalahoi. Ni walalahai!
Siku zote ukiona huduma fulani ni aghali popote pale...tambua kwamba wewe siyo mlengwa. The earlier the better.
Siku zote uchumi binafsi unaamua...utibiwe wapi, usome wapi, uishi wapi nk.
Mengine ni porojo za CCM na wapiga...
Hospital kama AK, TMJ etc...target yao siyo walalahoi. Ni walalahai!
Siku zote ukiona huduma fulani ni aghali popote pale...tambua kwamba wewe siyo mlengwa. The earlier the better.
Siku zote uchumi binafsi unaamua...utibiwe wapi, usome wapi, uishi wapi nk.
Mengine ni porojo za CCM na wapiga...
Mkuu umejiuliza maswali ukajijibu. Bottom line ni kipato. Ukiwa na uwezo wa kuendesha Range Rover, maana yake wewe kwako Mafuta siyo shida. Nikinunua Mercedes na service nafanyia DT Dobie…nitasemaje kwamba Mercedes ni gari mbovu? Kama ulivyoandika hapa, determinant ni pesa. Basi.
Haya maswali...
By the way we jamaa mnafiki sana. Unapenda kuita story za wenzako chai. Kila thread lazima u question credibility ya mleta uzi. Here you are unaulizia mwendelezo.
Badilika…..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.