Search results

  1. F12

    Hakimu wamahakama ya mwanzo songea mjini kuwa naubinaadam

    Huruma walikua nayo watu wa analogie na sio hawa wa digital waganga njaa ka mbwa koko. Lakini watoa rushwa pia hawakua na hakika ya kushinda kesi au ndo kununuliwa kwa haki hata kama ni stahiki yako?
  2. F12

    Je unaweza kuoga na mpenzi wako?

    Nina aibu ila huwa naoga nae. Lakn hata NDIO pia ni jibu sahih coz huwa naoga nae
  3. F12

    Kashfa ya kutisha jeshi la Polisi

    Tatizo kibongobongo bila rushwa hatutoki, na pia tulivokua na elimu za kuungaunga mpaka tutoe milungula ndo maisha yaende, na ukmwona mtu kapata jiulze katokea wapi na kapata vp, utatamani ukaandike tamthiliya tena very attractive na ikauza.
  4. F12

    Kata zilizoko wazi mpaka leo!

    Hata kata pia zinatakiwa xana kukamilisha issu nzima ya utawala.
  5. F12

    Msaada kwa mdogo wangu

    Polen sana lakin si ajabu kwa watoto kuwa na tabia fulani ktk makuzi yake, tabia hzo huwa hazidumu ktk maisha yao na hujitokeza ktk umri fulan wa makuz ya watoto hvo itafika muda tabia hzo zitakwisha na atapitia tabia nyngne lakn kitu cha msingi ni kumuasa asiendekeze tabia kadhaa ambazo ni risk...
  6. F12

    Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

    Kwanin avunje makubaliano? Mlikosea kitu kimoja, mngeyachagua kabisa majina kama hataki alikatae kabla kiumbe hakijaja ili ubadili jina alipendalo na yeye, kama vp kaa nae uongee nae taratibu na kumweleza furaha yako kumtajia jina mwanao wa kwanza kama hilo halitaki akupe chance tena uchague...
  7. F12

    Love messages

    Nawe tafta namba nyingne hata zikiwa 2, uwe unajitumia love sms kwenye cmu yako then subiri one day azibaini ili uone reaction yake ndipo upate pa kusemea.
  8. F12

    chukua..chukua..chukua..yote yako

    Kama ulimkosea kamuombe msamaha ili uendelee kupewa maneno uloyamis kwn sio kesi na maisha lazma yaendelee.
  9. F12

    Kwanini wanaume ni waoga kiasi hiki

    Mwanaume ndiye kichwa cha familia, so hawez kuwa na saut wakat anaish kama anatunzwa, kwahyo sio woga 2 ila pia hata kukwepwa kupelekeshwa na kupewa kauli za matusi na kuudhi, ni vzur kwa mwanaume kuwa juu zaid mkewe kwa kipapo warau heshima iwepo.
  10. F12

    Shemeji ananikosesha amani...sijui nifanyeje..?

    Nadhan utakua hata humtaman, ila angekua analipa hata ucngetwambia. Sasa fanya hivi, usigombanishe familia kwa kumsemea na akaonekana eti ye2 ndo wa hovyo, vumilia ww ni lijali bana na u never extend makaz hapo so utaondoka 1 day na akizid fanya 2 kwa siri na msiweke mazngra ya kujionyesha wala...
  11. F12

    Eti unaweza kusahu kutongoza?

    Nadhan hujasahau ila nao wanatofautiana c kila mmoja utampata kirahis hvo, kuna wengne hawapend kudate kabsaa! May b anamheshmu wake. U never knw bana, ila hujasahau mkuu ulikutana na kisiki cha mpingo.
  12. F12

    Je maamuzi haya yatakua sahihi?

    Unapofanya mambo kuwa na utayari wa negativity pia positivity na ukumbuke kuna kulizwa ktk love, binafsi naona huyo bado ni mdogo kiukwel maamuz atakayoyafanya yatakua ya kitoto bila kufikiria future na akija kulimbuka utakuja kulia na kujuta kumfahamu. Ckukatishi tamaa u can try kwan huwez...
  13. F12

    Simuelewi ?

    Subira ni muhimu pia ondoa fikra za kuwa ana mwingne, try 2 keep in touch kwa kumtafuta kwa hewa pia hata kumtembelea mara kadha if pocble. Uhafifu wa mawasiliano ni hakna ntwk aliko au ndo ubize 2 wa kazi? Kaza mwendo na ucteteleke kirahc hvo.
  14. F12

    Kwa uelewa wangu mdogo ntahitaji msaada wenu wana MMU!!

    Mapenzi yaweza kuwa hata kwa mama, dada, kaka, baba na yeyote yule unayeonesha kumpenda kimapendo ya kawaida. Mapenzi ya mpenzi uliyempa nafasi ya kuwa "part of your body" kwa kuwa mnapeana mapenzi yaan kukutana kimwili ni tofaut na yale ya wengne wa kawaida kama vle nduguzo.
  15. F12

    Nomben ushauri tumsaidie huyu dada.

    Maisha lazma yaendelee, tatzo lilomkuta alikua ktk mawazo ya kuolewa na longolongo za waoaji zikawa nyingi kuliko, so kwa mazngira kama hayo hana budi kuvuta subira ili kufanya uchaguzi sahihi na si ajabu kutendwa kwani ndio amejifunza so akimpata wake atajua namna ya kufanya ili kuepukana na...
  16. F12

    Imenikera sana hali hii

    Sio rahisi na kawaida kuanza kumpa kichapo mtu usiyemfahamu wala hujawahi kumwona, so inawezekana hao wanafahamiana vizuri na kujuana vilivyo, aliyepigwa hana demu? Ana hakika hakumsaliti mtu wake? Kama alisaliti anadhan dem wake anamtazaje kwa hyo aibu na usalit wake? hakujua kuwa huyo ni...
  17. F12

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Acha kuchanganya watu wewe, wengine huku tunaenelea kufuatilia na inaonesha kuna kata nyingine hata hazijawasilisha mabox ya kura sasa ww umetoa wap hizo au ndo kama mlivyozoea kwa7bu tunajua nyie mlikua zaman sio sasa.
  18. F12

    Msaada kunusuru suala hili

    Mpe pole jamaa! Kiukweli naamin maridhiano ya wawili walioko ndoani ni jambo la msingi zaid lakin kama hata hayo hayafikiwi jamaa anatakiwa kuchukua maamuzi magumu na ahiari kulea kiumbe chake ktk mazingira yeyote kwan ndoa ishaingia doa. Najiuliza huyo mtoto kaachishwa kunyonya na kama bado...
  19. F12

    Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

    Itafika wakati kitaeleweka tu, Mungu hamfichi mnafiki, daima mfa maji haishi kutapatapa, kama ni mbinu za ccm bas huu ndio mwisho wao! Mzuri ni mzuri na atapendwa siku zote hata kama ww mmoja ukijifanya unamchukia na bahari siku zote haichafuki hata ukimwaga pipa 10 za rangi utaikuta vilevile...
  20. F12

    Wrong number!

    Hiyo ni kawaida sana kwa boys wanaopenda na walogeuza kudate kama sifa hasa kwa wale wanaoibukia ndo hugeuza kama shibe na ni wepes sana kuwaomba akina dada namba zao haijalishi kufahamiana. Hii inatokana na hulka binafsi za mhusika na ulimbuken kwan wengi huona kudate wa waschana wengi kwao ni...
Back
Top Bottom