Search results

  1. G

    Utenzi wa Tanzania - Miaka Hamsini ya Uhuru (Beti 100)

    Watanzania tuwe makini, hizi juhudi za kuisahaulisha tanganyika zina lengo gani? Hawa watu mi siwaelewi kabisa. Hivi wanadhani tanzania itadumu hadi lini? Tanzania ni zao la muungano wa tanganyika na zanzibar hivyo siku muungano huo ukivunjika tunadhani tutabaki na jina gani? Tuendelee kulienzi...
  2. G

    Nyumba ya jirani inaungua, yetu inateketea.

    NYUMBA YA JIRANI INAUNGUA, YETU INATEKETEA. Tarehe 9 Desemba 2011 tutasherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi ya Tanganyika. Kwanza nianze kwa masikitiko kwa namna vyombo vya habari vinavyojitahidi kupotosha na wanaelekea kufanikiwa. Mara nyingi wamesikika wakisema kuwa ni uhuru wa miaka 50 ya...
  3. G

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    Ndugu zangu watanzania tunapaswa kuwa makini kuliko wakati wowote ule. Tufahamu ya kuwa wabunge wote watakaopokea nyongeza ya posho hizo ni wasaliti na wazandiki wakubwa wanaopaswa kutoswa na kufikishwa mahakamani kwa kuhujumu uchumi. Wakati bado wanamageuzi walikuwa katika mchakato wa kukataa...
  4. G

    Nyumba ya jirani inaungua, yetu inateketea

    NYUMBA YA JIRANI INAUNGUA, YETU INATEKETEA. Tarehe 9 Desemba 2011 tutasherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi ya Tanganyika. Kwanza nianze kwa masikitiko kwa namna vyombo vya habari vinavyojitahidi kupotosha na wanaelekea kufanikiwa. Mara nyingi wamesikika wakisema kuwa ni uhuru wa miaka 50 ya...
  5. G

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Ingieni facebook, nimeweka kumbukumbu ya mwalimu nyerere. Tazama "rahim gwotta".
  6. G

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    HOJA HUJIBIWA KWA HOJA. WANA FIKRA PEVU WANATUMIA AKILI KUFIKIRI NA WALA HAWATUMII HISIA. NAFAHAMU KWAMBA WATU WENGI HAWAPENDI KUKUBALIANA NA NDUGU MOHAMED SAID, WENGINE WANALETA MISAMIATI AMBAYO HATA WALIYOIANZISHA WANASHINDWA KUTOA MAANA ZAKE. NINI MAANA YA UDINI? WATU HAWATAKI HATA KUTAFAKARI...
  7. G

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Maaskofu hawaaminiki hata kidogo, hivi hamjawashtukia tu? Mwaka 2005 walitwambia kuwa kikwete ni chaguo la mungu, walimpigia kampeni hadi makanisani. Kila mwenye kumbukumbu anakumbuka vema sana. Walimpa biblia nyingi mno. Sifahamu ni lini mungu aliwaotesha kuwa kikwete si chaguo la mungu...
  8. G

    Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

    NDUGU ZANGU TUTUMIE HEKIMA ZAIDI KATIKA KUTOA MICHANGO YETU. MITANDAO KAMA HII ITAKUWA NA FAIDA KUBWA SANA KAMA TUTAKUWA TUNAJADILI MAMBO YATAKAYOTULETEA MAFANIKIO KATIKA TAIFA LETU. NDUGU ALIYETULETEA HABARI KUTOKA KATIKA GAZETI LA ANNUUR HAJATWAMBIA KICHWA CHA HABARI KILIVYO BADALA YAKE...
  9. G

Back
Top Bottom