Search results

  1. The mediator

    Anguko la taifa laja

    Mkuu hapa hoja yako imeegemea sana upande mmoja.Ni kweli LOWASA amelitendea kosa taifa letu na wananchi pia kwa ujumla.Mimi nakubaliana na wewe uko sawa kutokumsamehe kwa alicholifanyia taifa kwa kuwa huo ni utashi wako wewe. Hapa ninachopingana na wewe ni kuwa,huyu LOWASA ni mwanadamu kama...
  2. The mediator

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Ndio maana nikasema kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni gwiji wa tasnia ya habari lakini kumbe hana kabisa busara za kujenga hoja zake.Kwa hili naona kama rais amechemka kumteua kwa kuwa hana msaada sana kwa rais.Huwa anaishia kumdanganya tu rais katika masuala ya sheria.Mfano mzuri ni uandikwaji wa...
  3. The mediator

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Paka Jimmy ni ugeni tu ndio unanitesa ndugu yangu.Nashukuru sana kwa elimu yako ulionipa.Kweli hapa JF kuna mengi ya kujifunza hasa kutoka kwa wale member wenye nia ya dhati na maendeleo ya taifa letu Werema alisema kuwa wabunge wasiongee sana bungeni kwa vile TV zinawaonyesha.Akimaanisha kuwa...
  4. The mediator

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Nampongeza sa spika wa bunge letu tukufu Mh Anne Makinda kwa kulitendea bunge haki japo hata kwa mara chache sana.Jana mama huyu alionyesha ujasiri wa hali ya juu sana pale alipomueleza bila kupindisha maneno kuwa Mwanasheria mkuu wa serikali amelikosea bunge hivyo anapaswa kufuta kauli ya ke...
  5. The mediator

    Comparing: Lowassa vs Pinda

    Kwa mtazamo wangu yawezekana kabisa mmoja akawa zaidi ya mwenzake kwani Kiongozi kama waziri mkuu anapimwa kwa uwezo wake wa kuchapa kazi na uwajibikaji na hasa ule uwezo wa kuthubutu.Angalia hivi vigezo halafu utajua nani kati ya hawa wawili ni zaidi ya mwenzake. 1.Uwezo wa kuchapa kazi Kwa...
  6. The mediator

    Shujaa: Maj Gen Mwita Chacha Marwa "Kambale" Afariki

    Mungu amemuita huyu shujaa wetu,mola ailaze roho yake mahala pema peponi.Kweli tutaendelea kumkumbuka kwa yote mema aliyofanya kwa taifa letu.Pia tumsamehe kwa yale aliyoteleza kama mwanadamu. Jeshi letu limempoteza jemedari wa kweli mwenye kuigwa na vijana wengi wanaochipukia kwenye hili jeshi...
  7. The mediator

    Heche na Nape katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv

    Mwanzoni nilikuwa najiuliza hivi huyu Nape Moses Mnauye anaweza kubeba madaraka aliyopewa na wana-ccm? Nikasema nisimuhukumumngoja nione atakavyowajibika kwa sababu usmuhukumu mtu hadi umuone na hatia. Nikaja kugundua kumbe alikuwa amepewa madaraka makubwa sana ambayo hatoweza kutekeleza kwa...
  8. The mediator

    Huyu mbunge wa Nkenge mzima kweli?

    Kweli kazi ipo,hivi unaweza kutetea kweli haki za wananchi wako kwa mtindo huu? Unajua suala la kuwa mbunge ni suala nyeti sana,inabidi tuwe makini sana na uchaguzi wa wabunge wetu. Watu kama hawa hawafai kabisa katika taifa letu,tunahitaji wazalendo wa kweli wenye kujua nini wanafanya na sio...
  9. The mediator

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Unajua wapendwa taifa hili linahitaji kiongozi shupavu na mwenye kuthubutu. Kwa hali tuliyonayo sasa ni rais waaina hiyo ndiye tunayemuhitaji sana.Mimi napenda kuainisha mambo ambo machache ya rais tunayemtaka. 1.Awe na upeo mkubwa wa kufikiri matatiozo ya nchi yetu na aweze kuthubutu kuchukua...
  10. The mediator

    Bajeti 2011: Tanzania tunahitaji kufuta vyama vyote vya siasa tuanze upya!!

    Na mimi hapa ninalo la kuchangia kidogo wapendwa. Ingawaje mimi ni mgeni wa hii familia naomba japo nitoe mawazo yangu niliyonayo.Ni kweli kabisa unachosema mkuu,hapa Tanzania tuna mambomengi sana ya kujifunza kuhusu kuiongoza hii nchi. Kwanza kabisa tunahitaji kuwa na katiba bora yenye maana...
  11. The mediator

    J.K Nyerere na siasa za maji taka

    Kwa mtazamo wangu, unajua mtu waweza fanya mamo mengi sana kwenye jamii au taifa kwa ujumla. Hasa unapokuwa kiongozi mkuu wa nchi,ukiwa kama kiongozi wa nchi vitu kama lawama ni kitu cha kawaida kwa sababu unaongoza makundi mbalimbali ya watu. Hivyo yawezekana Mwalimu JK alikuwa ana mapungufu...
  12. The mediator

    Rais wa kuchekacheka na waziri mkuu wa kulialia.

    Kwa maoni yangu kweli kazi tunayo kwa sababu PM wetu ameonyesha hawezi fanya kazi bila kushikiwa remote. Huwa analia kwa uchungu wa nchi yake lakini hawezi fanya maamuzi kwa kuwa ni mwoga sana wa kulaumiwa. Unajua ukiwa kiongozi unatakiwa usiogope lawama bali usimamie haki na ukweli wa...
  13. The mediator

    Mungu ibariki Tanzania

    Wapendwa wananchi wenzangu wa nchi yetu ya Tanzania, napenda kuwaomba nami niwe mmoja wa familia hii nzuri na yenye busara tele. Naamini nitajifunza mengi sana kutoka kwenu. Naomba msaada wenu pale ninapokosea na mnirekebishe ili na mimi niweze kuelimika kupitia familia hii ya JF. Mungu ibariki...
Back
Top Bottom