Search results

  1. Bossless

    Naomba kufahamu vyeo vya TANAPA

    Ili vikusaidie nini mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Bossless

    Ulaya pamenishinda narudi bongo

    Na ndugu yangu yupo Belgium alijiripua ,amekaa miaka 15 ndo kapata paper Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Bossless

    Corona yatua Rwanda, muathirika ana asili ya Kihindi

    Kitu hii dahhh Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Bossless

    Mama amuua 'House Girl' kwa kipigo, amfungia chumbani

    Kibubu kinawekwa be sehemu ambayo mtoto na house girl wanaweza kufika usalama wa fedha uko wapi? Kisa kukwepa Makati ya bank haya aende jera akaozee huko na huko lazima mabwana jera wamlee tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    HABARI ZA MASIKU WANDUGU ,NATUMAINI HAMJAMBO NA MNAENDELEA VYEMA NA MAJUKUMU YENU YA KILA ,BILA SHAKA NIMEPITIA COMMENTS ZENU NA KUFURAHISHWA NA JINSI MNAVYOJARIBU KUUTAFUTA UKWELI WA JAMBO, WACHACHE WANAAMINI NI STORI YA KUTUNGA ILA NIWADHIBITISHIE HII NI KWELI KABISA BILA KUTIA SHAKA ,WENGINE...
  6. Bossless

    Anza kufikiria Corona

    Mpango wa new world order kuiangamiza dunia umewaadia. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Ilikuwa hivi yani kutokana hukumu za kihuni ,yani Ilikuwa ukimtaja mtu ndani ya mtaa /Kijiji chenu Kama amewasaidia wahutu kutoroka au kujificha hata Kama mna visasi vya zamani ukaamua kumsingizia mtu tu awe Mtusi au Mhutu Ilikuwa gachacha Haina Tena mjadala ni hukumu tu ,Sasa watu wengi...
  8. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Soma vizuri kwanza stori ,mauaji haya yalifungwa kwenye box kwa siku 70 ,huku propoganda kali zikiendelea so viongozi wengi wa Rwanda walikuwa wana Kuja huku Tanzania kwenye mikitano ya upatanishi na waaasi watangaza Kuna amani tele ,kwanza Ilikuwa kutoka ndani ya Rwanda. Ni ishu utapita...
  9. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    RPF walivoingia wakaanza kuua nao wahutu lakini wakawa wamechelewa dunia ikawa imeshajua na kuanza kufuatilia kwa karibu , ikumbukwe hata hapa mkuu wa majeshi Kama sijakosea General Mboma alitishia kuingiza majeshi Rwanda kuzima hii kitu akawa anasubiri final say atoe oda tu .kwa hiyo watusi...
  10. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Sorry nilimaanisha Mtusi kuolewa na Mhutu , type error kijana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bossless

    Matumaini ya kushika dola Tanzania vichwani mwa wapinzani yamekufa rasmi

    Nchi hii kila mtu ni ccm ,vyama vya upinzani ni mpango ya wajanja kupiga hela tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bossless

    Mimi binafsi Sina furaha na maisha yangu very dissappointed

    Badili mazingira ,Kama unaishi kimara hama kaishi gongo la mboto ,wakati ubongo wako upo kwenye msongo wa mawazo na hapo hapo utakuwa busy kuadopt mazingira mapya mwisho unakuwa normal kabisa baada ya kipindi kifupi ,try it bro Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Alihimizo maridhiano ya kweli kupitia nyimbo zake ,sio haya fake ya kusema watusi ndo walikufa tu akawauzi wenye nchi dawa yake ikawa jera kwanza halafu kifo . Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Maslahi ya wazungu yatakuwa wapi katika hilo? Kama hakuna maslahi yao itakuwa ndoto tu. Madini mengi yanayoibwa Congo yanapita njia ya ardhini ipo katika nchi mbili tu Rwanda na Burundi basiii . Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Hhhhaahhaaahhhaaa.....toka niescape Rwanda sijawahi ogopa chochote duniani in short mimi ni kama nusu mfuu. Unaweza nitukana nikakasirika Sana lakini ukaniwekea bunduki kichwani nikacheka tu so najua kifo kuliko maelezo . Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Mtusi kuolewa na mtusi never ever. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Hata wahutu wa msimamo wa wastani walichinjwa kinyama na wahutu wenzao .nadhani umenielewa? R.i.p kizito mihigo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom