Search results

  1. NYEKUNDU YA BIBI

    Malalamiko,uonevu maafisa madini wilaya ya Chunya

    Habarini ndugu zangu Ninaamini muwazima na wenye siha njema. Mungu awafanyie wepesi wenye magonjwa na hali zisizo nzuri haswa kipindi hiki ambacho serikali yetu inachukua tahadhari za msingi katika kupambana na virus vya covid 19 Tunaimani na kazi mnazozifanya haswa katika kuhakikisha...
  2. NYEKUNDU YA BIBI

    Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

    Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu, dada zangu, na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu. Niulize chochote kuhusu hii biashara nitakujibu. Chochote kinachokutatiza nitakujibu. Karibuni kwenye uwanja wa madini msiogope niulize...
  3. NYEKUNDU YA BIBI

    Moment ambayo hauwezi kuisahahau

    Katika maisha yangu siwezi kusahau siku ambayo nilikua jkt 821 kj bulombora Egle coy mujibu wa sheria nikiwa katika harakati za hapa na pale za usumbufu wangu nakujikuta mjanja Nilikua mzee wakudoji sana basi siku hio nikawa nimechaguliwa kwata kwa kua nimrefu hivi nikawa right maker chini ya...
  4. NYEKUNDU YA BIBI

    Moment ambayo hauwezi kuisahahau

    Katika maisha yangu siwezi kusahau siku ambayo nilikua jkt 821 kj Bulombora Egle coy mujibu wa sheria nikiwa katika harakati za hapa na pale za usumbufu wangu nakujikuta mjanja. Nilikua mzee wakudoji sana basi siku hio nikawa nimechaguliwa kwata kwa kua nimrefu hivi nikawa right maker chini ya...
  5. NYEKUNDU YA BIBI

    Dhahabu yazidi kuporomoka bei kwa kasi

    Ujio wa Corona nadhani athari zake si zakawaida katika soko la bidhaa katika soko la dunia Dhahabu imeporomoka bei na inaendelea kuporomoka kwa kasi kutoka 107000 kwa gram dhahabu yakukamatisha mpaka 85000 huku soko likiendelea kushuka ninauhakika hata thamani ya shilingi inaendelea...
  6. NYEKUNDU YA BIBI

    Uzi maalumu kwa taarifa za uongo na unafiki

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naanza na huu ugonjwa corona kumbe niugonjwa uwapatao watu wenye vigugumizi na wanyemakunyazi kichwani kama mganga aliewatapeli familia ya mzee mwenzetu mmoja hivi humu mzee Carlos The Jackal Pili Ni ugonjwa wa matajiri tu wee kama masikini endelea kula...
  7. NYEKUNDU YA BIBI

    Hasara za kumuacha mke uliyesota naye kimaisha

    1. Ni rahisi kuporomoka kiuchumi hasa ikitokea ka bibi mdogo ukakaleta karibu na biashara zako au kakawa kasimamizi ka baadhi ya Mali zako katakua bize kujifanyia malimbikizo ya fedha zako. 2. Kila mwanamke utakayekuwa nae kwenye mahusiano atataka kuchuma nakusepa zake huku akijua fika muda...
  8. NYEKUNDU YA BIBI

    Ansante sana baba @mshana jr

    Mshana Jr
  9. NYEKUNDU YA BIBI

    Kumbe maajabu bado yapo Tanzania

    Sent using Jamii Forums mobile app[/UR Taa hizi ni Mali ya wanakijiji waliokosa huduma ya umeme kwa miaka kadhaa sasa licha ya Muheshimiwa raisi kutekeleza sehemu kubwa ya ahadi ya umeme vijijini Taa hizi hukusanywa kwa pamoja nakuchajiwa, Jioni mwenyekiti huita watu wote nakuanza kugawa taaa...
  10. NYEKUNDU YA BIBI

    Serikali inavyoibiwa ukusanyaji ushuru magetini wakati wa kusafirisha mazao

    Habarini Wakuu Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo langu Hatimaye msimu wa uuzaji na ununuzi mazao hasa ufuta maeneo ya Mbeya umeelekea tamati au kufikia kikomo. Kumekua na upotevu wa mapato kijanja kwa namna hii hapa chini..... Mfanyabiashara hatoi hela halali ya ushuru na...
  11. NYEKUNDU YA BIBI

    Tanzania na mfanano wa mwanamke malaya

    Samahani Kwa headline yenye kushutumu......!!!!!! Kwa umakini na Kwa heshima ukifika sehemu nyeti kama bar muhudumu atakuona wathamani sana zaidi ya yule aliekua nae kabla yako [emoji117][emoji117]siasa za kukurupuka nakushabikia kila anaekuja nakumuona bora zaidi wa yule alietangulia huu...
  12. NYEKUNDU YA BIBI

    Yatendeka Kwa siku ili kuinusuru himaya yao

    Kama ilivyo heshima ya mamlaka Samaki akapewa jina na binaadamu akapewa nguvu ya Samaki ...!!! Na wote wakarudishwa majini ilihali binaadamu huyu mwenye jina na uwezo wakimamlaka Kwa jina lake lakisamaki na lakuheshimiwa sana na wenye kumpa uwezo wakulitawala jina hilo ndani ya himaya isiyokua...
  13. NYEKUNDU YA BIBI

    Update za michongo mbalimbali

    Ninaomba samahani sana mtakao fungua thread Nimefuta wazo langu nililoliandika nimewaachia Demiss Na Mwifwa waendelee kuchat humu...
  14. NYEKUNDU YA BIBI

    Ujambazi mwingine serikali za mitaa

    Bandiko mahususi wakati wakununua na kuuza viwanja, Wakuu kama umewahi kuuza ama kununua kiwanja kunahii tabia ya asilimia 20% anaramba Mwenyekiti na balozi wake ikiwa ni asilimia kumi Kwa mnunuzi na kumi Kwa muuzaji Pesa hii serikali inafaidika vipi ,ukiuza kiwanja million 60 Mwenyekit...
  15. NYEKUNDU YA BIBI

    Vijana tufanye nini

    Ongezeko la vijana wasio na vision kuhusu mambo yakufanya linanisukuma kuandika uzi huu!!!!! Unatushauri nini,wakati kama huu ili tuendane na dunia yasasa, Kundi kubwa lavijana wakike limefanya sehemu zao za uzazi kua sehemu ya kipato(kiwanda cha bure ) Pia kwavijana wakiume hali si nzuri...
  16. NYEKUNDU YA BIBI

    Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

    Poleni Kwa mfungo ndugu zangu waislamu huku wakristo mkiendelea kula mema ya nchi mchana kweupe!!!!!! Usiku wa Leo nimetoka kumfukuza classmate wangu wa kike akalale kibarazani kwakuwa mimi ndio nilikuwa mgeni wake hapa mjini kamaliza Chuo fulani kaja kufatilia masuala yake ya kielimu. Mimi...
  17. NYEKUNDU YA BIBI

    [emoji23][emoji23]vioja vya wanyakyusa

    Tupia kioja chako hapa cha watu wamwakareli Wanyakyusa wamekua habari nyingine Wawapokea kijiti wasukuma
  18. NYEKUNDU YA BIBI

    Baba zetu Na mama zetu heshima kwenu tafadhari

    Wakubwa wote shikamooni ........!!!!Leo nimejifunza kitu kikubwa humu nimetambua kua kumbe tuna baba zetu humu, Muda mwingine tunawatolea kauli chafu kabisa tunahisi tuko Na jamaa zetu wakaribu , Tunabishana Na ninyi Kwa kejeli nyingi tunajisahau kua wengine mlikuwepo kabla ya sisi kua mbegu...
  19. NYEKUNDU YA BIBI

    Unakumbuka nini siku yako ya kwanza kujiunga JamiiForums (JF)

    ...tukutane hapa ....!! Mimi ninachokumbuka nilifanya ujinga flani nilimkosea mzigua nikapigwa ban moja makini sana , Sikuzijua vyema taratibu za humu na mchecheto wakipumbavu kidogo ko nikaangukia pua Kwa ban moja safi sana nikabaki nashangaa mbona siwezi kuaccess chochote jamii forum Kumbe...
  20. NYEKUNDU YA BIBI

    Namna nzuri yakulinda ndoa zetu

    Ndoa ni ngome inayohitaji kulindwa Kwa nguvu maana ndiko chimbuko la familia zenye mafanikio makubwa hutokea, Familia shupavu hujengwa Kwa ndoa shupavu lakini si Kwa kujiona wathamani zaidi ya wengine anguko na inuko lako liko mikononi mwako mwenyewe (1) usiri ;hii ni moja yasababu kubwa...
Back
Top Bottom