Search results

  1. O

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Mchango mzuri, ila mkuu mi nina aleji na nyoka (badilisha hiyo avatar basi.
  2. O

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Duh! nimekubali watanzania tumeamuka, majority wanampa ukweli Zombe, sasa kitu ambacho sijui ni Je! hakuna kampuni ya wanasheria inayoweza kusimamia kauli ya Zombe na kumshitaki ili arudi gerezani akapumziishe upuuzi wake; na aache kuwasumbua wapigania haki wa CDM na Tanzania nzima? Jitokezeni...
  3. O

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    Hayo ndo yametukuta wakazi wa jiji la Mwanza. Kwa wale walologwa wanailalamikia CDM, lakini sijasikia kiongozi wa CDm akiwambia wamachinga kuanzisha fujo. Tambueni kuwa kwenye njaa na dhiki huwa hakuna upambe, ni namna mtu anavyoguswa na haki zake ndo anaanza kuzidai. Pili wengi walokuwa...
  4. O

    Mtoto wa mwisho hafai kuoa?

    Mtoto wa kwanza na wamwisho ni yupi anae subiliwa kwa hamu?
  5. O

    Technology: Cheating made simple!

    Tueleze uzoefu wako ukoje. We uliwahi kucheat online hadi kufika hatua ya kuvunja amri ya sita au unasikia ya watu. Kwa upande wangu sijawahi na sitegemei kwa sababu sometimes huwa nahisi kuwa huenda ninaochati nao si watu - ni majini.
  6. O

    Ujumbe wa Jaffarai kwa Mh.J.Mbilinyi a.k.a Sugu

    MR 2 kasema nini Bungeni hadi unakuja kuwakia kwenye mambo ya siasa na kuingiza hoja za wasanii?? Weka mambo wazi sio kufumbafumba wakati unajua wasomaji ni wengi. wengine hatujasikia kipi kaongea Mhe. Mr. 2 Mbunge wa Mbeya mjini.
Back
Top Bottom