Search results

  1. Nelson Masaduki

    RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    Nimefuatilia kwa makini mijadala kuhusu adhabu ya Wasafi kutoka TCRA. Ukweli utabaki pale pale. Wasafi hamtakiwi kuwa juu ya sheria za nchi. Kama vituo vingine vinafungiwa, nyinyi ni nani msipapaswe mnapokosea? Sheria huwa haitazami una connection na nani ila rungu likishuka linashuka zima zima...
  2. Nelson Masaduki

    Madudu yanayofanywa na uongozi wa riadha Tanzania

    Kwa nini Viongozi wa Riadha Tanzania wamejikita kwenye ubadhilifu wa fedha zaidi kuliko riadha? Shirikisho la Riadha Tanzania linapika katika kipindi kigumu sana. Tangu kuchaguliwa viongozi walioko madarakani sasa, mchezo wa Riadha umekuwa ni wa kushiriki na kushindwa. Nchi za wenzetu tunaona...
  3. Nelson Masaduki

    TAFAKURI: Kwanini Viongozi wa CHADEMA wanakwenda Marekani na Ubelgiji?

    TAFAKURI: Kwa nini Viongozi wa Chadema wanakwenda Marekani na Ubelgiji? Na Nelson Masaduki ------------------------- Kwanza, nianze kwa kuwapongeza Jamiiforums kwa kazi kubwa mnayofanya ya kutupasha habari na kuwasaidia wenye matatizo mbalimbali kupitia Forum hii. Ninajua si kazi rahisi kusoma...
  4. Nelson Masaduki

    TAFAKURI: Kwanini Viongozi wa CHADEMA wanakwenda Marekani na Ubelgiji?

    Kwanza, nianze kwa kuwapongeza Jamiiforums kwa kazi kubwa mnayofanya ya kutupasha habari na kuwasaidia wenye matatizo mbalimbali kupitia Forum hii. Ninajua si kazi rahisi kusoma kila mtu anachoandika ila kiukweli ninafuatilia kwa karibu sana mambo humu ndani. Leo nimekuja na swali au tafakuri...
  5. Nelson Masaduki

    Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Nilikuwa hapa Singida nikielekea Mwanza. Niliamua kusimama kwa muda mchache kufuatilia hotuba ya Rais Magufuli baada ya kumuapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Katika maneno mengi aliyozungumza, nimebeba yafuatayo: 1. Huu sio wakati wa kula raha. 2. Huu ni wakati wa kazi. 3.Huu ni wakati wa...
  6. Nelson Masaduki

    President Magufuli rejects calls to extend rule beyond two-term limit

    President John Magufuli on Thursday rejected calls from some of his supporters to extend his rule beyond the constitutional limit of two, five-year terms, bucking a trend. There have been some calls from members of the Parliament including the Speaker of the National Assembly Job Ndugai who have...
  7. Nelson Masaduki

    Pongezi kwa JamiiForums kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuhabarisha Umma kuhusu Ugonjwa wa Corona

    Jamii Forums, Nimefuatilia kwa muda mrefu namna mnavyohabarisha umma habari kuhusu Virus vya Corona. Niseme tu, hongereni kwa kazi nzuri. Nelson, Dar es Salaam.
  8. Nelson Masaduki

    Wito wa Wananchi: ‪Serikali iongeze muda wa Mchakato wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria mbali mbali (8) zilizopo bungeni kwa Hati ya Dharura‬

    KUTOKA BUNGENI: MADHEHEBU YA DINI HAYATAFUTWA KWA MABADILIKO YA SHERIA Katika uchangiaji wa hoja Bungeni, Wabunge wamebainisha wazi kuwa Mawazo ya Kamati zilizoshughulikia mabadiliko ya Sheria ya Asasi za Kiraia ni ya msingi kwa kuwa, Makanisa na Asasi za Kiraia yanahitaji kuangaliwa kwa...
  9. Nelson Masaduki

    Gazeti la "The new times" lampongeza Rais John Magufuli

    Was-salaam! Gazeti la THE NEW TIMES limechapisha taarifa ya kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Katika toleo lao la tarehe 26/06/2019, Wahariri walikuwa wanachambua suala la uwezezaji ambao huhatarisha maslahi ya nchi ambazo zinategemea misaada kutoka katika mataifa makubwa...
  10. Nelson Masaduki

    Baadhi ya Wabunge wapokea fedha chafu Morena Hoteli, Dodoma

    Wengine wako vizuri sana, huwa nawakubali ila kuna wengine wakulala
  11. Nelson Masaduki

    Baadhi ya Wabunge wapokea fedha chafu Morena Hoteli, Dodoma

    Wakati Serikali ikijiandaa na ukusanyaji wa Maoni ya Wadau katika mabadiliko ya Sheria (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali kupokea fedha maeneo ya Morena Hotel -Dodoma ili wapaze sauti zao. Wabunge wengi inasemekana wana...
  12. Nelson Masaduki

    TLS: Pongezi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala Bora na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Rais wa TLS ameipongeza serikali kupitia kwa Waziri mwenye dhamana ya Utawala Bora kwa hatua nzuri anazochukua dhidi ya matumizi madaraka. Barua hii
  13. Nelson Masaduki

    Bunge kuwa dhaifu haimaanishi kwamba Spika ni dhaifu!

    RAIS NI SEHEMU YA BUNGE MJUE!!
  14. Nelson Masaduki

    The Statement by the Chairperson of the African Union Commission

    Statement of the Chairperson of the AU Commission on the Situation in Sudan April 11, 2019 Addis Ababa, 11 April 2019: The Chairperson of the African Union Commission, Moussa Faki Mahamat, is closely monitoring the ongoing developments in Sudan, in particular the announcement of the First Vice...
  15. Nelson Masaduki

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan alazimishwa na Jeshi kutoka Madarakani. Inadaiwa kajiuzulu, Uwanja wa Ndege wafungwa

    Naendelea kuyatafakari mapinduzi ya Sudan na Zimbabwe. Nawaza na kuwaona viongozi wenye kutaka wakae madarakani na kuwatesa wenzao. Nawaza baada ya Sudan wapi kutaendelea. Watu wajipange siku zaja.
  16. Nelson Masaduki

    Ripoti ya CAG 2017/2018: Deni la Taifa laongezeka kutoka trilioni 46.08 kufikia Trilioni 50.92

    "Hata sisi tunapokopa hapa, malipo yake hatutayamaliza kwenye Awamu ya 5. Inawezekana kwenye awamu ya 6, au ya 7 au hata awamu ya 10 ndio watakuja kuyamaliza haya madeni. Lakini sisi tutakuwa na barabara na barabara itakuwa imeshajenga uchumi wa wananchi wetu"
Back
Top Bottom