Search results

  1. M

    Ni ipi nafasi ya mwanamke katika muziki wa taarab?

    Kila jambo ndugu yangu linakwenda na wakati, kwa maana kwamba wakati ulipo sasa kila kitu kipo wazi taarabu za zamani zilikuwa sana na ifadhi ya lugha ndio maana kama ujui maana ulikua huwezi kupenda taarabu, lakini sasa taarabu zipo wazi kabisa hakuna hifadhi ya lugha kabisaaa, Sasa kwa akina...
  2. M

    Wachangiaji wapinzani Bungeni kama movie

    kwa kweli magamba siku hizi, ni lazima uwe na moyo wa mwendawazimu kupita na gamba lako barabarani, kama kufunikwa wanafunikwa hasa ila tu inabidi kujikaza kusambuni.
  3. M

    Fanya haya lazima! Lazima! Utakuwa tajiri.

    Lazima! Lazima sio Lazima utajiri umaskini vyote ni matokeo wapo waliopiga sana goti, duw,a maombi na kutenda mema kwa kwenda mbele lakini blue wakajalibu njia mbadala ndiyo hiyo ya nguvu za shetani nayo blue ulazima ni matokeo, unaweza goti usipige kwa sangoma usiende na pepo zikakushukia mambo...
  4. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    safi! kama tatizo sio mtaji basi fuga kuku wa kisasa utanyanyuka kwa haraka na pia utaona nini unafanya! Kuku wa kienyeji ni mradi mzuri ila unachukua muda mrefu kidogo
  5. M

    Shemeji mh mh...

    Hakuna mjadala hapo dada! pasua kichwa ya nini kashindwa dada utaweza wewe! otherwise umevutiwa nae
  6. M

    mama wa kambo ni mama lakini!?!!!!

    huyo mwanaume kama ana habari mambo anayofanya mkewe (mama wa kambo) itabidi afanye taratibu za kumkeketa! si jambo la busara hata kidogo kufanyia mambo hayo mtoto mdogo!
Back
Top Bottom