Search results

  1. Ledio

    Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

    ndiyo maana mkatoa rais legelege Jk
  2. Ledio

    CHADEMA sasa mnasikitisha, nahisi mmeshakuwa CCM F

    Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha ni pale mwenyekiti wa tume ndogo ya LAAC iliyokwenda kuchunguza mgogoro wa halmashauri ya wilaya ya kondoa bwana Joseph Selasini mbunge wa Rombo(CDM) alipoamua kumficha Afisa wa Tamisemi ambaye ndiye aliyebariki wizi wa Tsh 72m huku akishirikiana na DT...
  3. Ledio

    Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

    Acha upumbavu raia waliokufa kule mbona husemi.
  4. Ledio

    CUF yamjia juu Edward Lowassa

    mtaachika shauri yenu.
  5. Ledio

    Tundu Lissu Umepotoka!

    hapa sijui niseme nini?
  6. Ledio

    Nisaidien Jamani!!!

    we mmasai boya sana ngoja mkurugenz apewe mambo halafu uone. nyau we.
  7. Ledio

    Upendeleo kwa Wanawake una Faida kweli Tanzania?

    Kaka MMASAI huyo DALDO wa Ngorongoro kumbe nawe unamjua. Katika wakuu wa idara vibuyu huyo nafikiri anaongoza. watumishi wake wanamwekea mitego wanamwandikia ripoti mbaya naye kwa ujinga wake anasoma kwa watu bila kupitia. Huyo mama ni kibuyu haswa anashindwa kazi hata na watumishi walioko chini...
  8. Ledio

    Elections 2010 Hawa Ghasia sikia hii-Watumishi wa Halmashauri za Wilaya Wananyanyaswa sana.

    Mhe Hawa Ghasia kama unasoma huu ujumbe katika mtandao huu au kama kuna subordinate wake aniPM ili nimwambie manyanyaso wanayopata watumishi katika Halmashauri nayofanyia kazi. Wana JF wenzangu mimi naamin JF ndio kimbilio pekee la watz wanyonge katika kuelezea Shida na Matatizo yao wanazopata...
  9. Ledio

    Elections 2010 Hawa Ghasia sikia hii-Watumishi wa Halmashauri za Wilaya Wananyanyaswa sana.

    eedoh Inawezekana ni kweli unayosema lkn hayo ni upande wa siasa hayatakiwi kufungamana na utendaji kazi. Hebu jaribu kufanya mazungumzo na watumishi wa Halmashauri zilizo karibu nawe ili mradi tu wasiwe wakuu wa idara watakuambia kero wanazopata. Huku kwetu mtumishi wa kawaida kupata activity...
  10. Ledio

    Lowassa aweka mambo hadharani: Nitatoa uamuzi

    Mgombea wa CCM 2015 ajiandae kupiga kampeni za BMW.
  11. Ledio

    Elections 2010 Hawa Ghasia sikia hii-Watumishi wa Halmashauri za Wilaya Wananyanyaswa sana.

    Napenda kutoa kilio changu kwa waziri wa Ofisi ya Rais, Menejiment ya utumishi wa Uma, juu ya mambo wanayotendewa watumishi walioko katika Halmashauri za wilaya. Huwa sipendi kuropoka na nalisema hili kwa ushahidi kwa kuwa sasa nina experience zaidi ya 10yrs nikiwa mtumishi katika Halmashauri...
  12. Ledio

    Mbowe anavyojiosha Bungeni...

    Pepo mchafu tokaaa
Back
Top Bottom