Kwa upande wangu wa kwangu alikuwa muhudumu wa Bar Fulani vile alivyokuwa ananihudumia kila ninapoenda pale alinifanya nianze kumpenda mwishowe nikamueleza ukweli mpaka leo tupo pamoja.
Daaah!story yako tamu lakini inasikitisha kutokana na janga ulilonalo.
Ushauri mpotezee huyo demu ludi kwa mkeo muelezee wapi ulkosea na huna nia tena yakurudia hilo kosa.
ililitakalo tokea mkeo awe upande wako.
Asante sana Mtambuzi haya ndio mambo yanatakiwa kupostiwa humu jamvini mtu unasoma unaelimika.safi sana nilikuwa nasikia tu hizi habar leo kupitia kwako nimetambua kwa kirefu zaidi.
Mtoa mada umegusa sana,naomba usinikumbushe yaliyonikuta miaka kumi na moja iliyopita nilikuwa na binti mmoja tumeanza nae mahusiano nae tangu akiwa fomu one,niljitahidi kumhudumia kila kitu,simu alikuwa halali kama hajasikia sauti yangu.alipojiunga chuo kikuu hapo UDSM mambo yakanza kubadilika...
Hospitali kwa Dar ni nyingi sana mfano ,Regency,TMJ,Mission mikochen,Tumaini,Kinondoni,Mikumi Hospital kwa uchache haijalishi una kadi gani maana matibabu ni yale yale kwa kiwango kile kile.
Nina rafiki yangu wa kike tangu nianze nae mahusiano ni miaka miwili imepita siku moja nilimuuliza kuhusu mzunguko wake aliniambia hafahamu kwa kuwa huwa inamtokea bila ya kuwa na fumula.
Mfano mwezi huu imetokea inaweza kupita miezi mitatu mingine ndio anapata, na kabla ya kupata huwa anatokwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.