Search results

  1. Z

    Why country borrow to finance its budget?

    The Government spends money to finance its various activities. The activities include building of infrastructure, defence of a country's national boundaries, provision of social services such as health, education, maintenance of security, payments of salaries for its employees and many others...
  2. Z

    Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  3. Z

    Kwanini CHADEMA wanafukuzana wenyewe

    kwa kuwa malaika ndio chanzo cha idadi kubwa ya wanachama kufukuzwa. Kwa hiyo hataki kukusolewa ama kuambiwa lolote?
  4. Z

    Kwanini CHADEMA wanafukuzana wenyewe

    Nimekuwa nafuatilia mienendo ya vyama mbalimbali nchini nikagundua kufukuzana sio jambo jipya katika vyama hivi. Kilichonishangaza zaidi ni idadi ya wanachama waliofukuzwa chama cha demokrasia na maendeleo kuwa wengi ikilinganishwa na chama kingine chochote nchini. Sasa sijajua chanzo ni...
  5. Z

    Uchaguzi 2020 Ukiwa huna mipango ya ushindi ni vyema usipoteze muda wako kugombea uongozi Oktoba 2020

    Wanasiasa ndio wenye maamuzi mkuu katika taifa hili. Ama huelewi
  6. Z

    Uchaguzi 2020 Ukiwa huna mipango ya ushindi ni vyema usipoteze muda wako kugombea uongozi Oktoba 2020

    Nimekuwa nikifuatiliia watia nia wengi walioanza kujitokeza na kufanya tathmini kidogo nimegundua wengi hawana mipango madhubuti ya kuwakomboa wananchi katika changamoto nyingi wanazokumbana nazo. Wengine wanaona kama urais, ubunge na udiwani kama njia nyepesi ya kujipatia vipato. Wananchi...
  7. Z

    Kifo cha Rais wa kwanza wa Zimbabwe Robert Mugabe ni pigo kwa Afrika

    Kati ya viongozi wa bara la Africa waliopigania maslahi ya waafrika kwa ustawi wa bara la Africa Mugabe hatasahaulika. Viongozi wa sasa bara la Africa wajifunze kuweka mbele maslahi ya Africa na kuachana na mabeberu.
  8. Z

    Miji inayokuwa kwa kasi na fursa za kiuchumi

    Mioungoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kwa sasa ni mji wa Dodoma. Mji huu unafursa mbalimbali za uwekezaji na biashara. Wanasiasa na watalaam wanatakiwa kuzitangaza fursa zilizopo Dodoma ili wananchi waweze kuchangamkia hizo fursa. Kwa sasa naona wanasiasa wako kimya mno.
  9. Z

    Waangalizi wa kimataifa katika chaguzi zetu wwnakosea kusema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki.

    Nimefuatilia chaguzi za Tanzania kwa vipindi vya chaguzi awamu nne mfululizo, nilichogundua taarifa za wanaoteuliwa kimataifa kuja kuangalia namna chaguzi zilivyofanyika Tanzania wanaishia kuripoti chaguzi ulikuwa wa huru na haki. Swali langu, je wanatudanganya ama ndio ukweli. Kama wanatuhadaa...
  10. Z

    Sina uhakika wa kupeleka watoto shule

    Kwa hiyo ukilima mapema korosho utavuna mwaka huo huo ama? We mamluki wa korosho kweli.
  11. Z

    Tanzania ni mali ya watanzania tujivunie mambo yanayoweka alama ya utanzania wetu

    Mataifa ya wenzetu yalifanikiwa kwa kujali mambo yanayowaunganisha kama taifa na kuyatilia mkazo. Mambo ya maendeleo yatakayofanya taifa lao kuwa na maendeleo yaliungwa mkono na kuendelezwa. Tufikie wakati tutambue mambo ya kitaifa yanayolenga kutatua changamoto za sasa na badae kwa taifa...
  12. Z

    Maisha ya matukio yataligharimu taifa na Serikali ya Tanzania

    Tanzania inavituko sana. Vijana walishikilia propaganda ya 1.5 kama mtaji wa kisasa baada ya muda chalii. Niulize tena ile propaganda ya mizigo bandarini imeishia wapi? Vipi ile ya njaa nayo iliwapaisha kisasa? Tanzania yangu na wafuata upepo ni shida sana.
  13. Z

    Kwa maono ya Magufuli, taifa hili ndani ya miaka 10 tunaona mengi mzuri.

    Mheshimiwa rais John Pombe Magufuli anataka watanzania tufanye kazi kwa bidii, tujitume kufikia malengo ya maendeleo ubinafsi na kwa taifa pia. Anatamani watu wafanikiwe, walipe kodi, serikali ipate pesa za kuhudumia wananchi. Taifa lenye kiongozi mwenye maono ya mafanikio hujenga jamii...
  14. Z

    Elimu Tanzania tunasomea ujinga? Wapi waliendelea kiviwanda kwa kununua ndege badala ya kuwekeza kwenye kilimo na elimu?

    Wewe unaishi dunia gani. Huoni jitihada za kufufua kilimo cha pamba katika ardhi ya Tanzania, huoni barabara na reli zikijengwa ama unafikiri ni za nini? Huoni mkakati wa kuzalisha umeme wakutosha kwa kutumika gesi, maji na vyanzo vingine. Hauoni jitihada za kuongeza mashamba ya uzalisha miwa...
  15. Z

    Waziri Kalemani, unajua kuwa kwasasa mgawo wa umeme umepamba moto kuliko ilivyokuwa mwanzo?

    We Wewe hujaishi hili taifa. Kamuulize Mzee wa kutaka kujaribu kuleta mvua ya .......enzi hizo
  16. Z

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    K Kwani wewe kwa uelewa wako MIPANGO ya serikali inakufa kutokana na rais mpya kaja. Kuna mipango ya muda mrefu na muda mfupi. Mengi ya muda mrefu ni continous. Hata JK aliendeleza mengi tu ya Mkapa.
  17. Z

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Njia sahihi ya kutekeleza malengo sahihi kuelekea uchumi wa kati.
  18. Z

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Aibu YENU wanasisa mchwara.
  19. Z

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Watanzania tunataka kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025. Juhudi unazozifanya za kuimarisha uchumi na kuhimiza uchumi tegemezi utaleta tija kufikia dira ya taifa 2025. Nakuomba; uendelee kutekeleza wajibu wako kama ulivyoanza na uendelee kuongeza juhudi katika kuwawezesha wazawa kutumia fursa...
Back
Top Bottom