Search results

  1. Bundewe

    Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

    Pole mtoa mada kwa kudhani kila aliye ccm ni mwana ccm. Kuna ambao tumewabakiza huko kwa kazi maalum. Wao hufanya kazi ya ukawa ndani ya ccm, na kwa kweli wanaifanya kwa uadilifu mkubwa kiasi kwamba tunaweza kutembea kifua mbele kwamba come oct 25, ccm kwisha kabisa.
  2. Bundewe

    Membe angepita 5 bora angemsumbua sana Lowassa

    Uchaguzi wa mwaka huu ni mzuri sana. Kwa mara ya kwanza chama tawala hakina matumaini ya ushindi.
  3. Bundewe

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Hata mimi ntashangaa kura usipompa Lowassa, maana kwa maneno ya Sophia simba Lowassa ndio mwanaume wa shoka nchi hii. Sijaona mgombea mwingine kwa mwaka huu, wengine labda wajaribu miaka ijayo. Lowassa kaenea, anatosha.
  4. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Pole sana kaka. Urais Lowassa atausikia kwenye vyombo vya habari tu.
  5. Bundewe

    Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    Kuchafuka ndo dili mheshimiwa, si unaona waliochafuka na Richmond, escrow, nyumba za serikali, kupeleka wake shopping dubai kwa gharama za serikali, nk walivyo maarufu sasa. Wasio chafuka akina mahiga, Bilal, mpina, drs 7, nk unaona wana umaarufu wowote. Chafuka mkuu kadiri iwezekanavyo.
  6. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Ndugu yangu. Lowassa hatafika kwa wananchi kwa tkt ya ccm hata angekua na nguvu kama za Maywether, labda kwa wananchi atafika kwa tkt ya ACT. Kamuulize J. Malecela alichofanyiwa. Hao 'wanaomkubali' sio wananchi, ni vikundi vya wana ccm. Upinzani watapata urahisi sana wa kupiga kampeni dhidi ya...
  7. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Uko sahihi kaka, maana siku hizi hatuangalii uwezo bali kuibalance gender, dini na pande za muungano
  8. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Wengi tunadhani mbinguni tunaenda kwa ndege. Tunaogopa kufa kuliko moto
  9. Bundewe

    CCM amueni kati ya hawa wawili

    Mtoa mada dont underestimate Magufuli. Huyu jamaa kama umemgundua si mtu wa porojo, ni vitendo tu. Amejizuia sana kutoa hotuba za mbwembwe. Lakini utendaji wake tangu alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kwenye baraza la mawaziri hakuna mtanzania atakayeusahau. Sina hakika na January lakini kama...
  10. Bundewe

    CCM amueni kati ya hawa wawili

    Zamu kwani tuko kwenye foleni ya maji Hapa!!!!! Watanzania tujitahidi kuwa serious kwenye issues! Kwa mawazo madogo kama haya ni ndoto kupiga hatua ya maendeleo
  11. Bundewe

    Mgombea urais: Huyu ndiye anayeungwa mkono na chama cha CCM

    Endeleeni kufanya mizaha. Mpitisheni muhangaike kumtambulisha kwa wananchi, ukawa iingie ikulu asubuhi na mapema.
  12. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Asipozuilika ndani ya chama, atazuilika nje ya chama. anaweza kuiweka NEC ya ccm mfukoni, lakini hawezi kuwaweka watanzania wote mfukoni. Kumpitisha lowasa ni kujaribu sumu kwa kuionja.....
  13. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Hiyo Milioni moja yake si bora angenunua magazeti ajipepeee...............
  14. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Hii ni dharau kwa ofisi yetu ya Rais
  15. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Huyu jamaa ni hela tu anatumia lakini hata kungea hajui. Wakitaka ukawa washinde kwa kishindo wampitishe waone....
  16. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Prof. Muhongo yuko vizuri sana, ila wakitumia na kigezo cha kujiuzulu kwa kashfa ya ESCROW, wanaweza kumweka kando. vinginevyo anaweza kuingia tatu bora badala ya Mwigulu.
  17. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Hajapitishwa Slaa, ila nadhani kwa UKAWA, yeye ndo anapewa nafasi kubwa zaidi akifuatiwa na Lipumba. Kwa kweli huyu jamaa (Dr. Slaa) ndo anayewanyima usingizi watu wa ccm
  18. Bundewe

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Mpaka kufikia jana jioni tar. 10/06/2015, takriban wanachama 29 wamechukua fomu au kutangaza nia ya kugombea urais wa nchi hii. Hii ni idadi kubwa sana ya watu kutangaza kutaka urais wa nchi yetu, nadhani kiti cha rais sasa kimeonekana cha kawaida sana, kiasi kwamba kuna ambao wana elimu ya...
  19. Bundewe

    Kigogo wa CHADEMA apinga maamuzi ya chama hicho kumvua madaraka

    Kiongozi ngazi ya wilaya nae ni kigogo?
Back
Top Bottom