Search results

  1. I

    Mhe. Spika, kwanini Bunge lisijibu hoja za Mhe. Tundu Lissu kuhusu gharama za matibabu yake?

    Kwann isiwe chama cha mawakili kulipia gharama za rais wao? Vyeo vyote hivyo kumbe havina pesa!!! Au awaambie barck Mbona nao ni mashositi zake???
  2. I

    Babu Seya na mwanaye kurudi gerezani?

    Hovyo kabisa thread ya kipumbavu sana
  3. I

    Tarehe mpya ya kuapishwa kwa Raila Odinga ni 30 Januari

    Raila anabeep aapishwe aone chamoto
  4. I

    Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Kwa anamtaka rais avunje Sheria ili awe mfano! Huyu mbunge wa chadema kachanganyikiwa anatafuta kiki kwa lazima.
  5. I

    Jeshi la Polisi na CCM, Mwenyekiti wa UVCCM ana haki gani kufanya mikutano nchi nzima ila upinzani wao majimboni tu?

    Mnalia lia nendeni mahakamani kama mnadhani mnayo haki ya kufanya mikutano acheni vilio humu Jf mnatumalizia chaji
  6. I

    Rais Magufuli atia grisi kwenye uchumi; Kutoa bilioni 200 kulipa madeni ya wafanyakazi na watoa huduma wa ndani

    Namuamini rais wangu hasemi uongo, waongo ni chadema tu madeni tayari yameanza kuhakikiwa serikali ya magufuri inahela tulieni achape kazi hadi chadema wasambaane. ccm oyeeeee!
  7. I

    Freeman Mbowe: Heri ya Mwaka 2018, Huwezi kupata Maendeleo Kama Mtu Haupo Huru

    Haya ndiyo maendeleo ya kweli wewe mpiga diri, ulikuwa unaishi kama malaika kwa ujanja wa kukwepa kodi bilicanas leo unaanza blabla hapa nenda huko!
  8. I

    Nape Nnauye ahoji upatikanaji Mwenyekiti

    Aache majungu
  9. I

    TCRA kushusha kiwango cha gharama za mitandao kutoka sh 26 kwa sekunde hadi sh 2 kwa second? Je hii ni sawa?

    Washushe tu maana matumizi ya simu yanatakiwa kuwa ya kila mtanzania kumudu ili kuboresha mawasiliano ya kibiashara kufikia hatua ya Nchi ya viwanda kwa haraka na kwa watu wa tabaka lote katika Taifa
  10. I

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Huyu Anajulikana tu, alianza kutabir mrema staingia ikulu hadi Leo hana jipya
  11. I

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Sasa nani kamwambia Nchi ni ya chama kimoja? Kwa hiyo rais atubia makosa gani? Wachungaji wa matumbo hao!!
  12. I

    Breaking News.........

    Nyama choma kachumbari
  13. I

    Rais Magufuli kuna hizi Roho za watu zinapotea

    Dua la Kuku halimpati mwewe! Mlizoea kuua watu kwa kutumia ukamanda feki wenu mnadhani wote ni wauaji? Ben saa tisa aliuawa na mbowe lawama mnamwangushia Mhe rais , chacha wangwe mbowa alimuua masikini ya Mungu lkn sisikii sauti za kumlilia, hata tundu lasu amepigwa na mbowa lawama Kwa serikali...
  14. I

    Tuanzishe vita ya kupigania uhuru wa kiuchumi

    Jibu pigeni kura kukubali mji wa Jerusalem kuwa mji Mkuu wa Israel maana imeandikwa nitambariki akubalikiye na kumlaani anayekulaani
  15. I

    Mtatiro: Comrade Samson Mwigamba amenigutusha kitandani!

    Vyama vya upinzani vinakufa kwa kuacha vita ya UFISADI Mpende msipende upinzani nguvu zao zilikuwepo hapo sijui kwa nn hamtaki kuendelea na hoja hii
  16. I

    Mambo yaliyotokea na kushangaza Dunia

    Mwanadamu kutembea kwa miguu miwili tofauti na wanyama wanaotembea kwa miguu na mikono!!!!
Back
Top Bottom