Search results

  1. zigi 01

    Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?

    Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300? Naomba msaada ni jinsi gani naweza kuziona hizo specification.
  2. zigi 01

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Habari za mida, Naomba kusaidiwa router gani ni nzuri kwa matumizi ya taasisi ambayo inakuwa na watumiaji 500 kwa mara Moja wakiwa connected kwa wired na wireless? Na kipi natakiwa kukiangalia kwenye hiyo router ili kujua idadi ya users inayoweza kuchukua? NB: Sina utaalamu sana na router...
  3. zigi 01

    Tenses

    Matumizi ya being kwenye sentenses ni yapi? Na maana yake hasa ni ipi?
  4. zigi 01

    SAMPLE SIZE

    Habari Naomba kujua ni vigezo gani nivitumie kupata sample size of my study? Mfano: Nahitaji kujua idadi ya wamama wanaotumia uzazi wa mpango kwa jiji la Dar Es Salaam au Nataka kujua uelewa wa wananchi wa Mbeya kuhusu matumizi sahihi ya dawa za Malaria au Natakujua matatizo gani hupelekea...
  5. zigi 01

    Masters thesis and by coursework tofauti yake ni nini?

    Masters by course work na by thesis tofauti yake ni nini hasa?
  6. zigi 01

    Research

    Kuna utofauti gani kati ya Research Methods na Reaseach Methodology? Wataalamu hebu nisaidieni maana nachanganya sana hivi vitu
  7. zigi 01

    Basic ICT concept

    Kunatofauti gani kati ya Program na Application?
  8. zigi 01

    Maana ya "be"

    Naomba kujua maana halisi ya hili neno "be" kwa maana nashindwa kujua naambiwa kwa wakati huu verb be itakua was au itakua will au itakua have sasa nashindwa kulekewa hasa ni kitu gani hiki be
  9. zigi 01

    Hometheater vs Soundbar

    Naomba ushauri kati ya kununua soundbar au hometheater ipi itakua ni nzuri zaidi kwa matumizi yangu? Maana nahitaji moja wapi kati ya hizi na sijui utofauti wake! Na no vitu gani vya kuzingatia wakati wa kununua. Ni maduka gani kwa Dar naweza pata kwa bei nzuri?
  10. zigi 01

    Najaribu ku update taarifa kwenye database inanikatalia

    Hallo, Najaribu ku update taarifa kwenye database inanikatalia kila nikijaribu code zinagoma sijajua wapi nimekosea wana IT. Ila nimejaribu kuingiza I'd manual inakubali ku update hiyo I'd niliyoingiza sasa sijui nini shida.
  11. zigi 01

    Naomba muongozo wa kununua gari mtandaoni kutoka Japan

    Msaada nawezaje kununua gari online kutoka Japan ikanifikia Tanzania? Je, ni njia salama? Naweza kufanikiwa? Kwa maana naona gari mtandaoni ni gharama ndogo sana ukilinganisha na zinavyouzwa kwenye showroom zetu hapa bongo!
  12. zigi 01

    Toyota Premio new model vs old model

    Napenda kujua vizuri utofauti wa haya magari new model iko vipi? Na old model iko vipi 1.kimuonekano 2.ukubwa wa engine 3.mwaka wa kutengenezwa 4.wastani wa bei kwa hapa Tanzania Napenda kujua ili nifanye uchaguzi sahihi , nahitaji kuinunua mwezi ujao na sina uzoefu nazo sana
  13. zigi 01

    VB programming

    Hallo naomba mtu anisaidie hivi vitu 1.Object 2.Method 3.Events 4.properties 5.class Vinatumika vipi kwenye VB maana najifunza mwenyewe bado sijaelewa kabisa Mfano unakuta Form1.Inverted = True warningLabel.Text = "Data not saved" Form.label="next"
  14. zigi 01

    Visual Basic Programming

    Habarini! Napenda kujifunza Visual Basic Programming hasa kwenye Excel VB. Naombeni kama kuna mtu anaijua vizuri anisaidie hata kwa kuchangia kidogo. Akanifundisha through zoom au WhatsApp. Nipo serious
  15. zigi 01

    Naomba ufafanuzi katika hii kozi ya Post graduate

    Hallo naomba kuuliza! Mtu akisoma post graduate diploma of law! Akimaliza anakua qualified kwenda school of law? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. zigi 01

    Naomba kueleweshwa kuhusu aina za database

    Nimepata confusion kabisa kuhusu aina za database. Kuna mwalimu alinifundisha two types of database: Flat file database and Relational database tu. Sasa leo nimekutana na notes zina aina sita za database, sasa sijaelewa which is correct, msaada hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. zigi 01

    Data management

    Wale waliochaguliwa course ya data management open university tukutane hapa!! Hata kwa wanaoendelea watupe overview ya course
  18. zigi 01

    Relational database

    Msaada wa kupata softcopy ya vitabu vizuri vya database especially mysqli database
  19. zigi 01

    Application site

    Hellow Ni site gani nawezapata cracked application for free? Kama Adobe photoshop na nyingine
  20. zigi 01

    JOIN IN MYSQLI

    Naomba kueleweshwa vizuri wataalamu maana naona nimekariri ila sijaelewa vizuri kabisa hivi vitu 1.inner join 2.left join 3.right join 4.full join Maana vinaniuniza kichwa sana
Back
Top Bottom