Search results

  1. M

    Serikali yakanusha habari ya kupigwa marufuku ya matumizi ya mkaa ifikapo Julai

    Mimi pamoja nakusoma hiyo barua,naona bado serikali imepiga marufuku ya matumizi ya mkaa kiahina
  2. M

    DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

    kwahiyo Mahama zinafanya kazi kwa maelekezo ya Raisi?
  3. M

    Uongozi wa Bunge: Mkopo wa gari kwa Wabunge ni Milioni 90, hautaongezwa

    Huyo mbuge wa Temeke hilo gari mkonga la nini?kiukweli wabunge wengi kama siyo wote hakuna wanao nunu landcruiser mkonga
  4. M

    Kagasheki achukua ambulance yake baada ya kushindwa uchaguzi

    Hili ni somo kwa mpiga kura,siku tukielewa kazi za mbunge,diwani na raisi ndiyo tutafanya uchaguzi wenye tija.Wananchi wanashangilia na kuchagua kiongozi mwenye pesa ili atoe misaada binafsi nasiyo kusimamia serikali,ili nitatizo kubwa na huu ni mfano hai
  5. M

    David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Ukikubali tu umeliwa,hiyo njia imetumika maeneo mengi tuliyopigwa
  6. M

    CCM Bukoba mjini itaokolewa na muujiza

    Bk mjini ikishinda ccm mimi nitaona ni muujiza kama miujiza mingine,Kagasheki yuko hoi hadi ndani ya ccm
  7. M

    CCM Bukoba mjini itaokolewa na muujiza

    Hata Nkenge Kamala yuko hoi
  8. M

    Ngoja Aje Magufuli

    Huyu mama aliye naye pembeni ndiye aliharibu katiba ya wananchi sitaki kumuona wala kumsikia
  9. M

    ACT Wazalendo saafi majimbo 40: UKAWA na CCM mjipnge kuwapigia magoti bungeni kupata kura zao

    . Bukoba mjini nikama hakuna mgombea wa Act.Hapa ni Lwakatare lazima azame mjengoni
  10. M

    Rafiki yangu ametembea na shemeji yake

    Wewe umejuaje kaadaiwa na pesa?
  11. M

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Hatari sana 📌 Mchungaji Christopher Mtikila-ni kiongozi wa chama cha upinzaniaTanzania-cha-Democratic Party-(DP). Mtikila alizaliwa-Iringa, kusini mwa Tanzania, mwaka-1950. Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji Mtikila ni mwanzilishi na mkuu wa kanisa la kipentekoste la-Full...
  12. M

    Mama Samia aisambaratisha Arusha

    Huyo mama muulizeni?vipi kuhusu katiba?maana ndiye aliyetuaribia katiba yawananchi
  13. M

    Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Ahaaaa Kamanda,uchunguzi wako uwa haukamiliki,vipi uchunguzi wa namba zilizokuwa zinawatukana Makinda na Ndugai?
  14. M

    Ccm watia aibu kwenye uchaguzi

    Mimi nilikuwa jimbo la Bukoba vijijini, nimeona mambo ya ajabu,wagombea ubunge na udiwani wanashindana kutoa rushwa adharani,hii ni aibu kubwa sana kwa CCM
Back
Top Bottom