Search results

  1. Carlssin

    Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Greetings! Ninaishi kwenye familia yenye wazazi wote wawili, watoto wanne, mimi nikiwa mtoto wa kwanza na ndiye wa kiume pekee. Namshukuru Mungu, kwa sasa mimi najitegemea. Changamoto kubwa ipo kwa hawa wadogo zangu, wawili wanasoma chuo bila mkopo, pesa ya ada na kujikimu wanalipiwa na mama...
  2. Carlssin

    Nimuachaje D?

    Greetings! Nina-date wasichana wawili, lakini mmoja(let me call her M) nampenda sana kuliko mwingine (let me call her D). Japokuwa D ndio nilianza kuwa naye kabla ya M, sipo tayari kumpoteza M kabisa, na pia sitaki kuwa-date wote wawili at a time. Kwa sababu za kimazingira... kuna hatari...
  3. Carlssin

    Zuckerberg alipokataa mbegu akauziwa mazao

    Mnamo mwaka 1998 Jan Koum [Kulia kwenye picha ] alikutana kwa mara ya kwanza kabisa na Brian Acton [ Kushoto ] wote wakiwa wafanyakazi katika shirika la Yahoo. Walifanya kazi hapo kwa miaka 9, hadi September 2007 ambapo walishauriana kuacha kazi pale Yahoo Inc na kuchukua mwaka mmoja wa...
  4. Carlssin

    Rob Janoff ndiye aliye-design ile logo ya Apple

    Rob Janoff [ kushoto kwenye picha ] ndiye aliye-design ile logo ya Apple. Kumekuwa na maswali kibao juu ya kwanini alichagua Apple lililong'atwa, au kwanini asingechagua Apple zima. Rob Janoff amekuwa na maelezo marefu sana kuhusu jibu lake, lakini point yake ya msingi iliegemea hapa : "...
Back
Top Bottom