Search results

  1. monde arabe

    Ndoto hizi zina maana gani katika ulimwengu wa kimwili?

    Habar zenu ndugu zangu, Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikiota ndoto nyingi tofauti tofauti ambazo binafsi sina uwezo wa kuzitafsiri hata kidogo.Miongoni mwa ndoto hizo ni pamoja na hizi; 1. Nimewahi kuyaota maeneo tofauti tofauti ambayo tangu nilipozaliwa sikuwa nimeenda kutembelea kwenye...
  2. monde arabe

    Je, Programu ya Elimu Bure imefutwa na Serikali kimyakimya?

    Habar za muda huu ndugu wanajamii Sote tunafahamu ya kwamba Kuna chama kilijinadi kuwa kitatoa elimu Bure kuanzia elimu ya Msingi Hadi Sekondari kwenye campeni za uchaguzi wa mwaka 2015 na 2020. Baada ya hapo Kuna fedha zilianza kutolewa kwenye Shule za Msingi na na Sekondari kwa kuzingatia...
  3. monde arabe

    Robert Heriel na Mshana Junior wapewe tuzo za heshima

    Habar za muda huu Mabibi na Mabwana Kabla sijaanza kuandika kiini cha thread hii naomba ifahamike kuwa mimi Monde Arabe siyo Chawa wa mtu yeyote wala sitegemei kuuza utu wangu kwa kuwa Chawa wa mtu yeyote (natosheka na afadhali sihitaji zaidi) Pia,sijawahi kuwasiliana na wahusika niliowataja...
  4. monde arabe

    Kesi ya Mbowe na wenzake inaitesa Serikali, inawatesa viongozi wa vyama na Serikali na inatutesa raia wema kuliko inavyomtesa Mbowe na wenzake

    Habar za muda huu ndugu wanajukwaa Sote tunafahamu yanayoendelea hapa nchini kwetu,ukiachana na suala la Ngorongoro Conservation suala la moto kwa Taifa hili ni kesi ya Freeman Aikaeli Mbowe Kesi hii inamtesa kiongozi mkuu wa nchi, inawatesa viongozi wa vyama na serikali na inavitesa vyombo...
  5. monde arabe

    Malalamiko yangu kwa watu maarufu dhidi ya kesi ya Mbowe

    Habar za muda huu ndugu wanajukwaa,zimepita siku kadhaa sasa tangu Mh.Freeman Aikaeli Mbowe alipotekwa na kuwekewa madawa ya kulevya pamoja na bastola kisha kupelekwa kwenye vyumba tofauti tofauti vya mateso na hatimaye kupelekwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwa wale ambao hawafahamu ukweli...
  6. monde arabe

    Movies za Hamza na Mama J mtunzi na director ni ccm

    Habar za muda huu ndugu wanabodi Naomba nianze kwa kutoa utangulizi kuhusiana na mada iliyopo hapo juu.Katika Dunia ya leo hakuna jambo linaloweza kutokea kwa bahati mbaya;hata majanga ya asili kama matetemeko,mafuriko na maafa mengine ambayo baadhi ya watu huona kuwa ni mambo ya asili,mambo...
  7. monde arabe

    Memes kali special thread

    Nawasalimu kwa jina la katiba mpya#Mbowe siyo gaidi. Huu ni uzi wa memes kali.Screenshot memes kali then uzitupie kwenye uzi huu ili tufurahi pamoja lkn,tuendelee kumuombea Mh.Mbowe kwa kuwa yupo kwenye mikono ya watu wabaya.Pia,tuchukue tahadhar dhidi ya Corvid-19 Twende kazi mimi naanza na hizi!
  8. monde arabe

    KATIBA MPYA,special thread

    Nawasalimu ninyi nyote kwa jina la katiba mpya.Watanzania na Wasiowatanzania sote kwa sauti moja tunapaswa kuungana na kudai katiba mpya.Bila katiba mpya tutaendelea kuishi Tanzania kwa hisani ya viongozi waovu (usalama wetu unatokana na namna wanavyofikiria hao viongozi na mfano mzr kwny hili...
  9. monde arabe

    Mbinu za kudai katiba mpya

    Habar za wakati huu ndugu wanajukwaa,rejeeni uzi wangu wa Trh 23/06/2021 unaotutaka Watazania wa rika zote kuungana ili kuweza kudai katiba mpya...thread ya leo ni mwendelezo tu Ndugu zangu Watanzania wenzangu,tunapaswa kutumia akili nyingi katika suala hili la katiba mpya,katiba mpya siyo...
  10. monde arabe

    Huu ni muda sahihi wa kudai Katiba Mpya ya Tanzania

    Husikeni na kichwa cha habar ndugu wasomaji. Umewadia muda ambao Taifa la Tanzania linahitaji Katiba mpya na hapa ndipo ambapo kila mmoja anapaswa kuonyesha uzalendo wa kweli. KWANINI TAIFA LA TANZANIA LINAHITAJI KATIBA MPYA? Taifa la Tanzania linahitaji Katiba mpya kwa sababu iliyopoina...
  11. monde arabe

    Huu ndiyo utamaduni wa Waswahili kwenye masuala ya misiba

    Habar za muda huu ndugu wanajukwaa Naomba niwafahamishe wale wote wasiofahamu utamaduni wa Watanzania kwenye masuala yanayohusu misiba Waswahili wanapokuja kwako pindi unapokuwa umepatwa na msiba wanakuja kuchunguza nani amefika kwenye msiba na nani hajafika kwenye msiba. Nani alikuwa amevaa...
  12. monde arabe

    Uchaguzi 2020 Tumebakiza dakika chache kufanya mabadiliko ya kweli. Chagua Tundu Lissu na Madiwani wake pamoja na Wabunge wake

    Tumebakiza dakika chache ili tuweze kufanya mabadiliko ya kweli, chagua Tundu Lissu na Madiwani wake pamoja na Wabunge wake! Tukumbuke vifo vya Watanzania wasio na hatia kama Aquelina, Azory Gwanda, Ben Rabiu Saanane na Kamanda Mawazo Tukumbuke,Watanzania waliofukuzwa kazi kwa kisingizio cha...
  13. monde arabe

    Uchaguzi 2020 Mbinu za kumuombea kura za ndiyo Tundu Lissu 2020

    Habari za muda huu ndugu zangu wanajukwaa pendwa. Ndugu yenu nimeona ni vema tukapeana techniques za kumuombea kura za ndiyo Mh. Lissu kwa kuwa ndyo kiongozi pekee tunayemtegemea atutoe kwenye minyororo ya Pharaoh muuaji (CCM) na kutupeleka kwenye nchi ya ahadi, nchi ya Uhuru na haki. Kila...
  14. monde arabe

    Namtafuta Mganga kwa jina la Mama Ashura

    Habar za wakati huu ndugu wanajukwaa, Namtafuta Mama Ashura,huyu Mama Ashura ni mganga wa kienyeji.Miaka tisa iliyopita alikuwa anaishi na kufanyia kazi zake za uganga sehemu iliyoitwa 'MUGANZA' lkn,baadae alihamia Kibondo Mkoani Kigoma Huyu Mama Ashura kiasili ni Muha.Pia,inavyosemekana huyu...
  15. monde arabe

    CHADEMA msikiuze chama kwa Nyalandu, Lissu anatosha

    Habari za muda huu ndugu wanabodi. Hii ni kwa Wanachadema wote, Watanzania wote,wapenda siasa na wasio wapenda siasa. Tundu Antipas Mughwai Lissu ndiye mtu sahihi kwa muda huu anayeweza kututoa Watanzania Misri na kutupeleka Kanaani. Kama CHADEMA na Watanzania kwa ujumla tutampitisha mtu...
  16. monde arabe

    Kwenu viongozi wa upinzani, msikubali kuhojiwa hovyo hovyo na hizi media za ndani

    Habari za wakati huu ndugu zangu wapenda amani, Nawaomba viongozi wa vyama vya upinzani kutoka Tanzania kama vile Mbowe, Zitto Kabwe, Maalim Seif na wengineo ambao wana dhamira za kweli za kutupeleka Kanaani kutoka Misri ya CCM, epukeni sana kuhojiwa na vyombo vya habari vya hovyo hovyo kama...
  17. monde arabe

    Uchaguzi 2020 Imevuja: Jinsi CCM wanavyopanga kuihujumu CHADEMA

    Habar za muda huu ndugu wanabodi Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot. Habari kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa CCM wamejipanga kukihujumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kufanya mambo ya aibu kama ifuatavyo; 1. Kuwanunua wagombea wa...
  18. monde arabe

    Jinsi CCM inavyohujumu CHADEMA kwa kutumia vyama vingine vya upinzani

    Habar za muda huu ndugu zangu Watanzania mliopo sehemu tofautitofauti Duniani kote,lengo la uzi huu ni kupeana elimu ya masuala ya siasa na kinachoendelea hapa kwetu Bongo kwenye ulingo wa siasa Mwanzoni ccm walianza kukihujumu chama cha Demokrasi na Maendeleo pamoja na Cuf ya Maalim Seif,hapa...
  19. monde arabe

    Nawezaje kupata views nyingi pamoja na subscribers wengi kwenye account yangu ya You tube

    Habari za muda huu ndugu wanajukwaa Rejeeni mada tajwa hapo juu.Ninayo account You tube,naombeni msaada wenu nifanyeje ili niweze kupata views nyingi pamoja na subscribers wengi (kama mnavyofahamu You tube huanza kumlipa Client wao pindi anapofikisha views 10,000,subscribers 1,000 pamoja na...
  20. monde arabe

    Vita ya Corvid-19 sasa imegeuzwa kuwa vita ya kisiasa

    Habar ndugu zangu wanajukwaa Nasikitika kuwafahamisha Watanzania wenzangu na Dunia kwa ujumla kwamba tayari tumeshindwa kwenye mapambano dhidi ya Corona Virus of 2019 (Corvid-19) na sababu ya sisi kushindwa ni kwa sababu tumeigeuza vita hii kuwa ni vita ya kisiasa.Tunakoelekea kuna giza totoro...
Back
Top Bottom