Search results

  1. U

    Muswada Bungeni: Fao la kujitoa limefutwa rasmi

    Wakuu vip hii sheria imeshapitishwa?Na fao la kujitoa limekaaje?
  2. U

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kibaha

    Bado vipo mkuu?
  3. U

    Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

    Mimi naona TZ tulipofikia inabidi udicteta ili tuendelee mbele kwanza hiyo demokrasia imeletwa na wazungu ili waweze kutunyonya vizuri na kutufanya tuendelee na umasikini namsupport rais wangu anafanya kazi nzuri sana sana
  4. U

    Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    mkuu wewe mpangaji huwezi shindana na mwenye nyumba ni shidaa tu utapata
  5. U

    Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    Haiwezi fanya hivyo manake watakua wanapunguza kodi yao bei ikipanda ndio faida kwa serikali manake wanapata more kodi
  6. U

    Wizara ya Afya angalieni hizi saluni za kunyolea nywele na maambukizi ya UKIMWI

    Mie naona kitu hatari cha exposed mtu salooni kwa ukimwi ni during scrubbing mtu anatumia mikono yake kwa kuscrub mtu mwingine bila kuvaa gloves aisee hatari
  7. U

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Manzese
  8. U

    Bunju, Boko Traffic wapo, Tegeta kibaoni wapo, Makonde wapo, Mwenge wapo. Kama nchi imefilisika tuambieni

    Hakuna kero hapo wamefanya kazi nzuri sana kuangalia usalama wetu ajali barabaran hasa mwezi uliopita wa sikukuu zimepungua sana hii ni kuonyesha ufanisi wao mie nilisafiri kwenda mkoa na kuridi nilikamatwa zaid ya mara 5 walifanya ukaguzi na hawakunikuta na kosa nawapongeza sana kwa kazi nzuri
  9. U

    Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

    mimi ukinilipa kodi yangu miezi sita au mmoja mie poa tu mradi ikifika mda wa kunilipa usinizengue manake hatutaelewana kabisa
  10. U

    Kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa

    Sawa mkuu,manake Boda boda inaweza kuleta mazara makubwa zaidi
  11. U

    Kazi ya ujenzi wa ukuta Mererani Ikiendelea Kwa Kasi

    Magufuli ndiye rais anayetufaa kabisa safi sana
  12. U

    Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

    Wakati wa kusoma historia yake watasema nin kimemuua?
  13. U

    Kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa

    Ha hahaaa mbona umemchagulia bodaboda mkuu na sio gari?
  14. U

    Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    Mhh mngejua World Bank iko kwa ajili ya maslahi ya kina nan wala usingeshobokea huu mjadala
  15. U

    Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    Abadili msimamo kivipi au mnataka awaachie muendelee kuiba?
  16. U

    Kauli ya Rais Magufuli mjini Mwanza, "walionipa kura msiwabomoleshe!" Je ukimya wa CCM unatupa picha gani Watanzania?

    Mkuu uwe unafikiria kwanza kabla ya kukurupuka kuandika unamaana gani unaposema ukimya wa CCM unajua mwenyekiti wa CCM ni nani sasa CCM aongee nani zaidi ya mwenyekiti acha kujichanganya,barakan za CCM azitoe nani zaidi ya mwenyekiti?
  17. U

    Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

    Dr.Bashiru safi
Back
Top Bottom