Search results

  1. mkolosai

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Wadau nyumba ya kupanga vyumba vitatu maeneo sinza au makumbusho Gharama isizidi 300,000/= kwa mwezi
  2. mkolosai

    Hii Fence ya Kilimo kwanza Dodoma ni ya Nani?

    Wadau ukifika Dodoma Kabla hujaingia mjini kuna ghorofa la Kilimo kwanza huwa wanauza matrekta, naombeni kujuzwa kuhusu hii fence mmiliki wake ni nani maana ipo ndani ya hifadhi ya barabara. Bikoni zote mbili zinaonyesha jamaa wamevamia barabara. Awali hii fence ilikuwa ya tofari na iliwekewa...
  3. mkolosai

    Ni nani anayekosoa uongozi wa awamu ya tano?

    wanajamvi, imekuwa kasumba kwa kila mtu au jamii fulani kushabikia mtu au jamii tofauti na upande aliopo. ni nadra sana kwa upinzani kushabikia chama tawala. Lakini tujiulize upinzani ni nini? hili linakamilishwa na usemi unaosema kuwa "by nature, every human being is selfish" na pia mwamba...
  4. mkolosai

    Ni nani anayekosoa uongozi wa awamu ya tano?

    Wanajamvi, Imekuwa kasumba kwa kila mtu au jamii fulani kushabikia mtu au jamii tofauti na upande aliopo. ni nadra sana kwa upinzani kushabikia chama tawala. Lakini tujiulize upinzani ni nini? Hili linakamilishwa na usemi unaosema kuwa "by nature, every human being is selfish" na pia mwamba...
  5. mkolosai

    Pete yenye Madini ya Tanzanite ni bei gani?

    msaada bei ya pete yenye madini ya Tanzanite, mwenye utaalamu wa hizo pete, nahitaji kumnunulia bi harusi wangu mtarajiwa. Nahitaji mawazo please. Ahsanteni.
Back
Top Bottom