Search results

  1. in ha

    Nimegundua mke wangu naye yupo humu JF

    Kwahiyo waliomo humu wana dunia yao peke yao?...waliomo humu ndio haohao unaokutana nao kanisani, msikitini na kwingineko.
  2. in ha

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Miaka 3 bila bila , kekele zikaanza chinichini mke hazai!Mungu akashusha Baraka zake ,Ile dogo anafunga tuu mwaka ..mimba ya 2 ,,,Ile dogo nae anafunga mwaka mimba ya 3!!kelele zikaanza tena mke anazaa kama nyau[emoji1]!baasi nikaamua kuishia hapo madogo wamekua naenjoy tuu sasa!
  3. in ha

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]jf
  4. in ha

    Usimwamini huyo mwanamke ni nyoka anasubiri umshtue akungonge kisigino

    "Ishini nao kwa akili"ukiona umefeli kuwa handle Jua huna akili, matokeo yake mayowe tuu kama hivi Ugua pole mwaya
  5. in ha

    Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. in ha

    Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Kwahiyo anajua kuchonga mdomo tuu kupigana hawezi![emoji3]
  7. in ha

    Nini maana ya "Wakili msomi"?

    Kwani ukiita wakili msomi unaugua macho? Kama hutaki si uache !
  8. in ha

    Barakah Da Prince asusia interview

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa kavu kweli!
  9. in ha

    Gigy Money asaidiwe

    Hivi hapa anaongelewa gigy msanii au kuna lugha ya picha imetumika.kwa mawazo yangu naona anaongelewa..... Au basi.
  10. in ha

    Kuwa wapenzi wa muda mrefu na hadi kufunga ndoa ni kitu kinavutia sana

    "Mbaka" hapo msomi huyu katutatanisha.[emoji1]
  11. in ha

    Ambwene Mwasonge amefanikiwa kupata mtoto wa kike

    Story za kusikia huwa zipo hivyo . Ukute hata hayo yote ni mtu tuu anaamua kujitungia.
  12. in ha

    Changamoto za Ndoa: Kufungua Mlango Mpya au Kuendelea na Safari ya Majaribu?

    Muolewaji hataki kutoka kwenye hiyo ndoa, hapo utakuwa unapoteza muda kumhangaikia. Fanya yako mkuu akichoka atatoka mwenyewe .
  13. in ha

    Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

    Hata mimi nilipomuona mara ya kwanza sikuamini aisee.
  14. in ha

    Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

    Mawazo mapya naona unayakataa, au ulitaka kuambiwa uendelee na jamaa pamoja na kwamba kaka ashakupa ishara.Naomba namimi nikupe wazo jipya my dear "usikimbilie mume ukaukondesha moyo"
  15. in ha

    Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

    Sasa kumbe tayari una msimamo wako! Na hapa umekuja kuomba ushauri wa nini ?
  16. in ha

    Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

    Kweli mganga kiboko[emoji3]
  17. in ha

    Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

    Huu umbeya mpya kwangu,diva karudi kwa mganga?
  18. in ha

    Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

    Upendo wa mshumaa ,unateketea huku ukimulikia wengine.
Back
Top Bottom