Search results

  1. cheetah255

    Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

    Miaka70 kwa 37 huyo ndiye atakuwa chanzo Cha kifo chako.
  2. cheetah255

    Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

    Unazini na mjukuu wako na unamita shangazi?.
  3. cheetah255

    SECOND BATCH HESLB 27/10/2023

    Nimewafanyia wanafunzi wengi application wengine wamepata batch 1 na wengine hawakupata ila account zao zimebadilika leo, pia kuna wengine account zao zimekataa kuwa hawaku submit application.
  4. cheetah255

    SECOND BATCH HESLB 27/10/2023

    Batch2 imetoka ila allocation haionekani lakini ukiona dashboard imebadilika inakupeleka kwenye SIPA na DIDIs ujue tayari usubiri allocation tu.
  5. cheetah255

    Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

    Uzi umeharibiwa vibaya sana pengine Kuna ukweli ilikuwa unafichuliwa na mzee wa kingilinge, Bibi akaja kuchafua hali ya hewa kwakuwa ana maslai yake ya moja kwa moja.
  6. cheetah255

    Updates: HESLB Loan Applications 2023/2024

    Mambo tayari wadogo zangu.
  7. cheetah255

    Updates: HESLB Loan Applications 2023/2024

    Loan officers front page imebadilika ikibadilika na kuwa hivi ndiyo tayari?.
  8. cheetah255

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Content supervisor wamejiweka walimu walikuwa interviewers, hii ni rough ya aina yake.
  9. cheetah255

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Thimbaa anafanya nini jamani.
  10. cheetah255

    Yuko wapi Lisa Jensen?

    Amejificha baada ya Rapcha kumsakama sana alipo kula boom lake na kumuita mwizi.
  11. cheetah255

    Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

    Video ya kikora, pia wimbo(audio) hauna content yoyote ya dini ya kikiristo kwa nini ukashoot kanisani tena walivyo kuwa wanaimba kwa kejeli kwenye hiyo scene ni uchokozi tu kwa wakirsto.
  12. cheetah255

    Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

    Alafu unaangaika watoto wa vigogo walisha pewa izo form na weme submit kabla ya Tangazo halijatoka rasmin.
  13. cheetah255

    Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

    Mtumie soft copy aka print stationary ajaze kisha wata scan apo wakutumie gharama haitazidi elfu2
  14. cheetah255

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kuna deadline mbili ya kwanza ni 14 may 2022 ya danganya toto ni 19 may 2022. Wewe unajaribi bahati kwenye ipi?.
  15. cheetah255

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kumbe kuna watu wameshajaza na kutuma form no.1 kabla ya Tangazo halijatoka rasmin yaani week moja nyuma kabla serikali haijatangaza ajira. Hii nchi kwa upigaji ni namba moja, siyo serikali siyo raia.
  16. cheetah255

    Gharama za imported goods kuwa chini kati ya Tanganyika na Zanzibar sio jambo jipya

    Nimependa ulivyo itambua Tanzania mainland kama Tanganyika kunahoja ndani ya uzi imefichwa pengine ni kwa uoga au unatuchora wadanganyika na hapo ndipo tunaona KATIBA mpya inahitajika kwa upana mkubwa mbali na siasa za majitaka za upinzani uchwara.
Back
Top Bottom