Search results

  1. Milego

    Kwa wanaume wa mikoani tu.

    Hahahahahaaa ifoza aseh noma Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Milego

    Usimamizi wa mradi wa ufugaji samaki

    Sawa sir Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Milego

    Usimamizi wa mradi wa ufugaji samaki

    Nina experience ya miaka miwili ( I have two years in fish farming experience) Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Milego

    Usimamizi wa mradi wa ufugaji samaki

    Nina stashahada ya ufugaji viumbe maji (diploma in Aquaculture), nipo Dar es salaam nimesoma kozi ambayo inahusiana na ufugaji wa viumbe maji wakiwemo samaki wa maji chumvi na maji baridi, ni moja ya kozi inayotoa fursa ya kujiajiri kupitia kufuga samaki kwenye mabwawa(fish pond), vizimba(fish...
  5. Milego

    Somo juu ya ku-balance Biological cycle katika bwawa la Samaki

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Milego

    Somo juu ya ku-balance Biological cycle katika bwawa la Samaki

    Ulichozungumzia icho kinatokea kwenye RAS ambapo maji yanayotumika kufuga samaki yanakuwa yanazunguka hayohayo muda wote kwaio inashauriwa kuwa na Biofilter ambao watajiatach somewhere ili waweze kukonsume Ammonia pia kwenye RAS inashauriwa kuwa na Fish tank fulfilled with water, plant tank...
  7. Milego

    SUA NINI MNACHOFANYA?

    Cha muhimu sana hapo ni admission letter kutoka chuo husika maana huo ni utambulisho wako unaonesha ulichaguliwa kozi ipi kulingana na qualification yako pia joining instructions inatoa maelezo ya vitu vya kuzingatia wakati unataka kujiunga na chuo na kuanza chuo nini ulipe na nini cha...
  8. Milego

    SUA NINI MNACHOFANYA?

    Nafikiri cha muhimu ni Admission letter na joining instructions kwa sababu ukifika chuo utapewa hiyo Registration nambaako kulingana na course uliyochaguliwa na wao watakavofanya students registration kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza waliofika chuo kwa kozi husika.mfano mimi mwaka jana...
  9. Milego

    Short history of tilapia culture and growth rate under culture.

    Tilapia culture is practised in tropical and subtropical regions of world and has been growing at an outstanding rate during the past two decades. The worldwide production of tilapia in recent years has increased significantly and this increase has been influenced by the fast expansion of the...
  10. Milego

    vitabu vya ufugaji samaki

    Hakika inapendeza kwa mtu anayependa kujifunza mafunzo ya ufugaji samaki kupitia vitabu nadhani kupitia umo anaweza kupata knowledge kuhusu fish farming in general! Nakutakia kila la kheri mkuu katika uuzaji wako na usambazaji wako wa vitabu ili walengwa waweze kufikiwa kwa haraka
  11. Milego

    vitabu vya ufugaji samaki

    Unawezaje kufuga samaki bila kuwa na experience ? nikimaanisha unaweza ukasoma kitabu lakin kwenye practical ikawa viceversa pia katika ufugaji samaki inategemea na eneo husika je wewe unawezaje kuoanisha maeneo tofauti ? Pia kuna aina nyingi za samaki je wewe umezungumzia aina ngapi za samaki...
  12. Milego

    HESLB yawataka waombaji zaidi ya 25,000 kurekebisha maombi yao

    Inabidi utoe copy cheti cha BC then nenda RITA ukahakiki cheti chako ni sh 3000 baada ya kulipa benki watakupigia muhuri kwenye cheti chako cha BC baada ya hapo nenda mahakamani wakaweke muhuri wao ili kuonesha taarifa ulizotoa ni sahihi na hatua za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi yako...
  13. Milego

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Kambale ni bottom feeder tofauti na sato wao ni surface feeder, kwaio ukiwa unalisha hakikisha unatumia chakula ambacho kitazama chini ili kambale waweze hula mfano ukiwa unawalisha walishe pellets ziwe na uwezo wa kuzama chini na sio chakula cha powder form ambacho kinaelea juu, pia unaweza...
  14. Milego

    Kumbe wahaya ni wayaudi?

    Hakuna fact hapo mkuu
  15. Milego

    Mbunge Peter Lijualikali akamatwa baada ya kupost picha ya mtu aliyedai ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Wananchi wapi unawaongelea wew? Wew ni mahakama kuzuia mtu asiachiwe/kutolewa dhamana
  16. Milego

    Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

    Unachosema mi nakuunga mkono kwa sababu asilimia nyingi wanaojiita wa dar hawajazaliwa dar ila pilika za kimaisha zimewapeleka dar,je aliyezaliwa dar na kufanya kazi nje ya dar na mwingine aliyezaliwa nje ya dar ila anafanya kazi dar nani mwanaume wa dar pia nan mshamba kama mnavyofikiri?
Back
Top Bottom