Search results

  1. kitoko

    Msaada: Hela ya unga, nakufa njaa

    Wapendwa salaam alyk, tumsifu Yesu Kristo wana JF, Kuanzia jana siko vizuri nimehangaika nimekosa nimetafuta bado sijapata wapendwa ninashida ya kusaidiwa hela ya unga tuu. Please nisaidieni wana JF mwenzenu nakufa njaa.
  2. kitoko

    Tanzania yetu: Kuwa mkuu wa mkoa sharti ujue kuandika, msichana kuolewa ale na 'leaving certficate'

    kwa sasa Tanzania ukitaka kuwa Mbunge,DC au Rc sharti ujue kusoma na kuandika ....... lakini msichana akitaka kuolewa shart awe na cheti cha form four....nahisi tunaishiwa pumzi.[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Back
Top Bottom