Search results

  1. U

    Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Hongera sana mkuu, ni step kubwa sana
  2. U

    Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Na ww unampenda sana km ndo mziwanda kwa wanawake, tafuta pisi nyingine huyo mblock usitake kujua chochote kuhusu yy, na inawezekana ndo mpenz wako wa kwanza mana ungekuwa konki wala usingeomba msamaha kwa kosa lake ACHANA NAE UTAPATA SUKARI NA PRESHA
  3. U

    Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    Kuna siku na ww ndugu yako wa damu atamleta mtoto umsaidie kulea je mkeo akatae.
  4. U

    Wapi nawezapata Mchele Bora?

    Boss NONGWA njoo utupe majibu, afu mbeya sehem gan ulipo wew?
  5. U

    Wapi nawezapata Mchele Bora?

    Following
  6. U

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Papaa007 Bobmarley umeogopa wakat ulikuwa unapewa mambo mazur bila malipo wala kuomba, ahahhhahahaah.
  7. U

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Sasa bwana ulimwacha mke kwa kuwa kawa mbwa usiku mmoja tu km na yy alitumika na wachaw huoni km ulimuonea? au kuna tukio lingine lilijitokeza.
  8. U

    Unaweza kujifunza kitu kupitia mimi

    Nimejifunza sana tu, kwamba ni mwiko kufkiri macho ya watu ilhali unashida zako binafs Thanks nmejifunza.
  9. U

    Simulizi: Namchukia Mama Yangu

    Hahhaha pua zako zinanusa sana aisee
  10. U

    TBC mmenunuliwa vifaa vipya lakini mnashindwa kuleta coverage yenye international standard

    Jaman TBC n mtihani, sijawah kuielwa idara ya mitambo inafanya nn mara nying saut na matendo vinakwenda tofaut, na tena wameleta Tanzania Safar Channel n nzur ila watibu swala la saut kwenda tofaut na matendo.
  11. U

    Simulizi: Namchukia Mama Yangu

    Mama anashtuka anashindwa kuficha hisia zake, kwel kikulacho.
  12. U

    Simiyu: Muhitimu wa Shule ya kata Igaganulwa, Yohana Lugedenga azua mjadala baada ya kupata daraja la 1.7 akiwa amepata A masomo yote 9

    Kuna bint alikuja kufanya field nkaapewa nimsimamie, mama yangu n sheeda yan ukisema umwachie kazi anakuharibia kibarua, kingereza kingi kichwan hamna kitu. Japo kuna baadh ni kwel wapo vzur na makini.
Back
Top Bottom