Search results

  1. msani

    Baada ya kunikula kanichunia

    Kuna shida moja tu itakuwa imemfanya jamaa akuache. Baada ya sex ukaanza kujaa upepo unazungumzia ndoa tu, ukaanza kumuongelesha mambo ya ndoa. Kwa mwanaume hiyo ni kama anataka kuuziwa kitu kibovu kwenye box. Nikushauri kitu acha kulalamika na kuanza kutuma meseji za lawama kwamba amekukula...
  2. msani

    Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

    Kuna e-commerce kama KibubuApp ya Tanzania, Alibaba ya China n.k, je wanakusanya fedha kwa watu kwa ajili ya faida kama nyie? Kwa muundo wa kwenu wa kukusanya fedha na kutoa faida mnapaswa kuwa mmesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mitaji na Masoko (CMSA), Je mmesajiliwa na mamlaka hii?
  3. msani

    Ushauri kwa IGP: Ukitaka uwazi katika uwajibikaji wa Polisi ruhusu wawe wanarekodiwa na Raia hata ndani ya kituo cha polisi

    Maeneo nyeti yapi, vituo vya polisi au? Kuna unyeti gani wakati hapa nilipo naweza kuangalia hadi ikulu kwa msaada wa teknolojia? Hakuna maeneo nyeti. Haya ni maeneo ya umma na tunapaswa kuchukua video mambo yakiwa hovyo
  4. msani

    Barua ya wazi kwa Rais Hussein Mwinyi

    Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara zetu, na sisi kama wengine tumekuwa tunakopa mara nyingi na kufanya valuation ya mali zetu kama...
  5. msani

    CRDB Bank, huu ni wizi wa waziwazi

    Hata huku wapo hivyo wote. Ni lazima kufanya search kujua kama ni halali. Sio mbaya
  6. msani

    Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

    Najitahidi kwanza nimewafanya wapende vitu vinavyohusiana navyo. Sasa wanapambana kuchora katuni zao ili wazzingize kwenye computer. Mie nimewaambia wakitaka kutengeneza katuni zao basi waanze kwa kuzichora. Lakini mimi nina project za IT ingawa sijasomea ila nafanya kama biashara. Wataendelea...
  7. msani

    Watakaojaribu kudumaza Safari ya Rais Samia kuanzia 2021 kuelekea 2030 ni wasaliti, yafaa washughulikiwe mapema

    Unazungumzia tumbo lako na sio Mama Samia kuwa kiongozi. Hata wakati wa Jiwe mlisema hakuna mtu Tz anafaa ila mmeishasahau. Sema wazi kwamba hapo unamaanisha matumbo yenu.
  8. msani

    Watoto wangu wamejifunza kucheza upatu shuleni na watoto wenzao

    Aisee watoto wangu wakiwa hivyo basi nawaendeleza zaidi ya hapo. Nitawafundisha zaidi elimu ya fedha na namna ya kujitanua zaidi. Hii akili sio za kitoto,hawa wana jambo lao. Ukiwazimisha unawezakujikuta umemzima Bilionea ajaye. Tuachane na hizi akili, tuwaendeleze watoto kwenye wakicho bora...
  9. msani

    Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

    Mie watoto wangu mkubwa ana miaka 9 ila ameanza kujifunza kuwa mtaalam wa computer nataka awe programmer wa Software au Software Developer kwa mkubwa, mdogo atasomea IT/cyber security na Binti atasomea sheria,nikipata wa 4 basi huyu atakuwa mtu Data Science au kozi ambayo ni utundu wa computer...
  10. msani

    Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

    Kama hivi unavyoandika umemaliza Degree Mlimani basi ni halali chuo hicho kishuke hadhi yake kimataifa kwenye taaluma. Yaani wewe ulimaliza vipi hapo aisee? Huu uandishi ni wa mtoto mdogo ambaye hajamaliza vidudu. Sasa hapo tukusaidie jinsi ya kumchamba shemeji yako au tukusaidie namna ya...
  11. msani

    Manara asema ataishitaki Simba

    Ohoooooo kumbe mke wake amemkimbia? Dah mbona mpya hii. Vijana mna siri sana aisee
  12. msani

    Mali za Bilionea Mrema zauzwa bilioni 2.6 kulipa madeni, yamo mahekalu, familia yadondosha chozi

    Nadhani sisi waafrika tujifunze jambo. Tuandae mfumo wa kuendeleza biashara hata baada ya waanzilishi kufariki. Kwanini makampuni ya wazungu, waarabu, wahindi yanasonga mbele baada ya mmiliki kufa lakini kwetu imekuwa mtihani? Yaani mmiliki akufariki ni ugomvi mwanzo mwisho wakigombea kugawana...
  13. msani

    Manara asema ataishitaki Simba

    Kwahiyo ipo siku haya maneno atawaambia Yanga siku akiondoka? Eti Kaifanya Simba ipate mashabiki hahahaha.... Amekosa kiki sasa a atafuta pakuongelea. Simba hawana muda na maneno yake. Huyu mtu ni mpuuzi. Kwahiyo anaitishia Simba?
  14. msani

    Katoro Na Tunduma, Saa 12 Asubuhi Ugali na Nyama Choma Inakua Tayari Kwingine huko Vipi?

    Jmosi hii nilikula ugali nyama choma na kichuri hapa Banana dsm. Maeneo ya Gmboto, kitunda na ukanda huo kwa dsm ugali nyama choma na kichuri ni mapema asbh kabisa. Sababu wakurya wengi wanaishi maeneo hayo
  15. msani

    #COVID19 Fahamu masuala mbalimbali kuhusu chanjo ya COVID-19

    1. Jibu la swali la kwanza. Virusi vya Corona na jamii yake sio vipya duniani. Vimewahi kutokea na kusababisha madhara kwa binadamu, wanyama na ndege. Historia inaanzia miaka ya 1920. Baada ya hapa wanasayansi waliamua kufanya Tafiti za virusi wa aina hii(RNA viruses) ili kujua tabia zake na...
  16. msani

    SoC 2021 Vita ya Jirani na Utalii Tanzania

    VITA YA JIRANI NA UTALII TANZANIA Lazima tuingie gharama ili kuitangaza Tanzania na kuwavutia watalii Tanzania. Pamoja nan chi yetu kuwa na vivutio vingi vya utalii, yani vingi sana na nikivitaja hapa nitaishia kuvitaja tu hadi kuchoka kuandika, lakini ukweli ni kwamba tuna idadi ndogo ya...
Back
Top Bottom