Search results

  1. Kiti Chema

    Ushauri kwa mabinti: Usikubali kuamuliwa na mtu, maamzi ya maisha yako yategemee furaha yako

    Nawasalimu nyote wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye maada, Ilikuwa mwaka furani nilipata demu mtaani kwetu aliyekuja kuishi kwa shangazi yake akitokea mkoa fulani hivi, Nilipomtongoza alinisumbua kama wiki mbili hivi kukubali,mwishowe akakubari Mahusiano yetu yalidumu kwa mda wa miezi 8...
  2. Kiti Chema

    Je, mwanamke anaweza kupata hedhi akiwa mjamzito?

    Habari ya majukumu Jf, Hivi mwanamke anaweza kupata hedhi akiwa katika ujauzito hasa katika miezi ya mwanzo ya ujauzito, ๐™ฃ๐™–๐™ค๐™ข๐™—๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™–๐™จ๐™ž๐™ก๐™ž๐™จ๐™๐™–, ๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™š๐™œ๐™š๐™ข๐™š๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฉ๐™– ๐™ช๐™›๐™–๐™›๐™–๐™ฃ๐™ช๐™ฏ๐™ž ๐™ช๐™ฉ๐™–๐™ ๐™–๐™ค ๐™ฃ๐™ž๐™Ÿ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™– ๐™Ÿ๐™ช๐™ช ๐™ฎ๐™– ๐™๐™ช๐™ฎ๐™ช ๐™ข๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช.
  3. Kiti Chema

    ๐‡๐ข๐ข ๐Š๐ข๐ญ๐ฎ ๐ข๐ฆ๐ž๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐จ ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐ž

    Habari ya majukumu wana jamii forums wote, heshima kwenu nyoote mnaoendelea kupapamba kwa ajiri ya maendeleo ya maisha yetu, ๐‰๐š๐ฆ๐›๐จ ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข๐ฅ๐จ ๐ง๐ข๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฃ๐š๐ฆ๐ฏ๐ข ๐ง๐š๐จ๐ฆ๐›๐š ๐ฎ๐Ÿ๐š๐Ÿ๐š๐ง๐ฎ๐ณi ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐š๐ง๐š๐ฒ๐ž๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ก๐ข๐ข ๐ค๐ข๐ญ๐ฎ ๐ข๐ง๐š๐ข๐ญ๐ฐ๐š ๐…๐ˆ๐‘๐„ ๐‡๐˜๐ƒ๐‘๐€๐๐“ ๐•๐€๐‹๐•๐„. ๐๐ข๐ค๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ค๐ž๐ฌ๐ก๐จ ๐ญ๐š๐ซ๐ž๐ก๐ž 10/02/2022, ๐ง๐ข๐ง๐š...
  4. Kiti Chema

    Naomba ufafanuzi kuhusu kibali cha kujenga

    Habari wana jamvi, Naombeni kuuliza au kupata ufafanuzi kwa wanaofahamu haya mambo au waliopitia hizi heka heka za serikali na mifumo ya sheria zetu za Tanzania. Hivi inakuwa mtu unakiwanja na ulisha kilipia, kimepimwa vizuri na kina hati ya umiliki, ila unapotaka kujenga serikali inakuja...
  5. Kiti Chema

    NAHITAJI KUJUWA JINA LA HII MOVIE

    Wakuu,poleni na majukumu, nimeona sehemu vipande tu ila sijafanikiwa kujuwa jina la movie hii niliyoambatanisha na picha,
  6. Kiti Chema

    Je Amoeba zinapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex?

    Habari ya majukumu wanajamvi, Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex. Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji...
  7. Kiti Chema

    Kwa wale wanaovutiwa na nyumba nzuri

    Habari wana jamvi, mimi ni fundi wa skimingi na upakaji wa rangi nzuri, nina uzoefu wa miaka 4, Kwa mwenye kuhitaji nimfanyie kazi, mwenye kuhitaji ushauri juu ya rangi nzuri pia ata kama ni fundi wa kazi kama yangu ili tubadirishane uzoefu nawakaribisha sana. Napatikana Kigoma, ila nafanya...
  8. Kiti Chema

    Natafuta hii movie

    Habari waungwana wa JF. Nimekuwa mdau sana wa kucheki movie kwa mda mlefu tangu vidudu naweza sema hichi ndicho kilevi changu pendwa hasaaa. Kuna movie moja yakizungu sikubahatika kuijua jina na niliiona vipande tu na nimekuwa naitafuta kwa mda mrefu bira mafanikio ngoja niielezee labda huenda...
  9. Kiti Chema

    Huduma ya Finishing kama vile Skiming na upakaji wa Rangi unapatikana hapa

    Habari wanajamvi. Kijana mwenze ninawaombeni kwa mwenye uhitaji wa fundi Skiming na Upakaji Rangi na upakaji wa material mbali mbali ya urembo kama vile, stone, Decoo, con mixer, pamba/ aspendos, metalical n.k. Napatikana Kigoma ila mkoa wowote wa Tanzania ninafanya kazi. Karibuni nikufanyie...
  10. Kiti Chema

    Nahitaji mke wa kuoa mwaka huu

    Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote Elimu. Yoyote.
  11. Kiti Chema

    TV KUJILOCK

    Habari ya siku wanajamii, naomba kuwauliza mafundi wa humu JamiiForums. Ngoja niende kwenye lengo la uzi kabisa. Mimi nina Tv aina ya LED [HDMI] nch 19. Sasa nina mda kitambo sipo home nilimuachia Getto Dogo, na niliacha Tv inafanya kazi kila sehemu, Sasa nimerudi nakuta sehemu pa...
  12. Kiti Chema

    Niende mkoa au jiji gani kwaajili ya kufanya biashara ya mitumba?

    Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa. Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika Sekta ya Biashara. Mimi ni kijana ambaye kwa sasa naishi Kigoma mpaka hapa nahisi napoteza welekeo...
  13. Kiti Chema

    Natafuta msicha wa kuoa

    Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye umri wangu miaka29 Dini ni mkristo Kazi nimejiajiri sifa za msichaa nimtakaye umri kuanzia 19-26 dini lolote, awe na hofu ya mungu tu Nitashukuru kama atapatikana, karibu pm kwa maongezi zaidi,
  14. Kiti Chema

    Msaada wenu unahitajika sabufa yangu inakata

    Habari wa jamvi, nahitaji msaa wenu hata ushauri tu unatosha, Nina sabufa aina ya Sunder ilikata sauti gafra baada ya dogo kufungulia volume kubwa, sasa ikawa haitoi sauti kuanzia kwenye besi na twita zake, ila kwa upande wa twita moja ukiweka sikioni unasikia kwa mbali kama umeplay music...
  15. Kiti Chema

    APP YA MIXING STATION

    Wanajamvi habari, naombeni usaidizi namna ya kutumia App ya Mixing Station X3/M2 kwa yeyote anayeifahamu,Nimejaribu kuifungua ila sijui nianzie wapi maana inavitu vingi.pleas help me
  16. Kiti Chema

    Naombeni usaidizi katika tatizo hili la PC yangu

    Pc, ilikuwa ni nzima kabisa ila baada ya mda nilipo iwasha ikawa imeleta maelezo haya, Boot device not found please install an operating system on your hard disk Hard Disk (3F0) F2 system Diagnostics For more information,please visti ww.hp.com/go/techcenter/startup
  17. Kiti Chema

    Hivi kuna App ya kucopy vitu automatic kwenye flash?

    Wadau hivi inawezekana kupata App ambayo ukiinstall kwenye frashi au external memory ukichomeka frash kwenye computer inacopy kila kilichomo automatic, kama ipo ya kununua au inayopatikana playstore naombeni link
  18. Kiti Chema

    Nipeni ushauri: Je, nimpeleke kwenye vyombo vya sheria au nimuachie Mungu?

    Habari wana Jf. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye lengo, mimi tangu mwaka jana niliajiriwa kwenye kampuni ya mtu binafisi, Kipindi ninaajiriwa msimamizi mkuu walikuwa ni wahindi baada ya kama miezi 4 wale wahindi wakaondoka kwao wakafanya kumkabidhi MTANZANIA ili aimiliki hiyo...
  19. Kiti Chema

    Je kusudi la Mungu kumuunba mwanadamu ilikuwa ni lipi kati ya haya mawili?

    Wanajamvi habarini wote. Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza. Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu. Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani...
  20. Kiti Chema

    KWA MWENYE UJUZI HUU NAMUOMBA ANISAIDIE KIDOGO

    Wanajamvi habari. Natumai mpo salama; niende kwenye lengo kamili. Me nilikuwa naomba mtu yeyote mwenye ujuzi wa kuunganisha computer moja na nyingine kwa kutumia Network kupitia kifaa kinacho ita D.Link anisaidie hata kaaidia kidogo. Yaani ninamaana kuwa kuunganisha computer moja na nyingine kwa...
Back
Top Bottom