Search results

  1. Kiti Chema

    Tanzania Yasitisha Matumizi ya Dawa ya Kikohozi kwa Watoto

    Naombeni picha hata moja ya mfano wa dawa hiyo maana kuna mtoto anatumia dawa ya kikohoji na tumeinunua juzi tu
  2. Kiti Chema

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    hapo ndio huw nafeli kiasi cha kukaa na ukata kwa mda mrefu, nashindwa kuicontroll fedha jamaa zangu
  3. Kiti Chema

    Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

    Kamwe huwezi kutenganisha true love kwa kitu chochote,
  4. Kiti Chema

    Mnatumia njia gani kukabiliana na msongo wa mawazo (stress)?

    Thanks broo ingawa nahisi kuloose control but nitajitahidi kusawazisha vinavyonifelisha na kuninyima amani
  5. Kiti Chema

    Mnatumia njia gani kukabiliana na msongo wa mawazo (stress)?

    We are same moment tunapitia yaani hata sijui mwaka unaishaje, sioni cha maana katika mwaka huu.
  6. Kiti Chema

    Wakati sahihi kuondoa bikra ya binti

    Inamaana alama za ubikra ni ile damu sio, naomba kueleweshwa mkuu
  7. Kiti Chema

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Me naomba niulize tu kwa waliowahi kutoa bikra, hivi ushawahi kula demu ambaye pengineanajinasibu kuwa yeye ni bikra , ila damu hazikutoka unaposex naye kwa mara ya kwanza lakini uchi ukawa umebana,
  8. Kiti Chema

    Tambua ukubwa wa processor yako

    Processor haiwezekani kubadirishwa
  9. Kiti Chema

    Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Niambie unaweza kutoa posa bila kiongozi wa kanisa kuhusishwa harafu wachungaji au viongozi wa kanisa wakakuelewa, acha masihara ndugu, Kama ni hivo basi mvulana na msichana wangekuwa wanaelewana tu harafu wanaenda kwa mchungaji awafungishe ndoa basi
  10. Kiti Chema

    Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Sina maana kuwa nimedharau fani yake ila dharau zilianza kwa walezi wake kudharau kiasi cha pesa nilicho nacho, utamaduni wengi wa wakristo hupanga mahari kubwa kutokana na kiwango cha elimu walicho msomesha binti yao, Hufanya hivyo wakidhani wanaenda kukufaidisha.
  11. Kiti Chema

    Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Sio kweli mkuu, mimi ni mkrosto na unapozungumzia mahari kwa sehemu moja au nyingine lazima uongozi wa kanisa uhusike na uthibitishe
  12. Kiti Chema

    Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    mkuu nikili kwamba ulicho ongea ni ukweli mtupu, mwaka 2017 nilitaka kuoa na nilikuwa na mahusiano na binti fulani hivi ambaye alitoka kijijini alipo fija mjini nikambrashi na mitoko,pamba hata pesa, maana nilikuwa na kijiajira, baada ya kwenda kuuliza mahari kwa tetesi tu bila ya mshenga...
  13. Kiti Chema

    Naombeni wanao fahamu wanipe dalili za utumbo kuziba

    Hizo ni dariri za mshipa, belive me, ukitaka kuthibitisha katika hili fanya hivi, kula vitu vye sukari kwa wingi utaona namna vishipa ya uume inavyo vuta au kuuma kuanzia kwenye korodani mpaka kwenye tumbo . yaani tumbo linalopokea chakula,
  14. Kiti Chema

    Natafuta watu wa live band

    Ingia kasulu pale kuna makundi mengi ya kuimba,
  15. Kiti Chema

    SoC02 Mahari isiwe kikwazo, mtoto wa kike sio bidhaa

    Nimekupigia kula kabisa, hii imenitoke mimi hapa ninayecomment kwenye uzi wako, baada ya kuona hivyo ile hera nilienda kununua kiwanja na sasa najiandaa kujenga kama nipatapa pesa za kujenga, na sito kuja nitoe posa kabla sijaishi na binti kwenye ndoa, na nimepanga kutorosha, ilimradi nina...
  16. Kiti Chema

    MB za Halotel zinayeyuka kwangu tu au nyie wenzangu?

    Nikwambie kitu vijana wengi wa siku hizi wamekuwa wabinafsi sana, hawa mchango wowote katika Taifa na jamii kwa ujumla, Utakuta mtu anaujuzi fulani au ameuwezo fulani ni bora ajifungie ndani kuliko kuwaelekeza wengine, Mataifa yaliyo endelea huwa wanashikana mkono na kuinuana na ndio maana...
  17. Kiti Chema

    Zipi sababu za wanaume kubambikiziwa watoto wa wanaume wenzao?

    Daaah, baadhi ya wanawake wamelaanika hata hawaoni kuwa ni kosa kubwa kumbambikizia mtu mimba isiyo yake au mtoto asiwo wake, Kila nikikumbuka, basi imani na wanawake inaisha kabisa
Back
Top Bottom