Search results

  1. fizo talent

    Wazoefu zaidi wa biashara

    Habari wakuu... Niende moja kwa moja kwenye mada ni wakati gani utajua biashara unayofanya imekufa au imefilisika...nimejiuliza hili swali kwa nyakati tofauti na nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja ingawa nimepata mawazo yafuatayo 1)Pindi unapotoa pesa yako katika vyanzo vingine vya mapato...
  2. fizo talent

    Ungekua wewe ungemshauri nini?

    Huyu ni jamaa yangu ambae tumefahamina yapata miaka mitatu sasa kupitia masuala ya kazi, kwenye suala la maisha naweza sema sio mabaya sana kwani ukiwa na nyumba na usafiri kibongo bongo ukipata hivyo vitu angalau shida ndogo ndogo zinakua hazipo. Ipo hivi mwamba ana mke na watoto wawili...
  3. fizo talent

    Kwa hiki nilichokishuhudia leo, wenye magari hawatokuja kuwapenda waendesha pikipiki maarufu kama “bodaboda”

    Habari za weekend wakuu, Nielekee kwenye mada moja kwa moja, leo nikiwa katika usafiri wa umma maarufu kama daladala inayofanya safari zake Chanika to Machinga Complex nilishuhudia tukio ambalo gari aina Harrier ikiwa barabarani katika eneo ambalo barabara ni mbovu, hivyo alilazimika kusubiri...
  4. fizo talent

    Pole sana mama yote ni maisha

    Habari wakuu, Nijielekeze ktk hiki kisa moja kwa moja maana mambo ni mengi halafu muda ni mchache Baba baada ya kufiwa na mkewe alikaa alone kwa muda wa miaka miwili hapo tayari alikuwa na watoto watatu na mimi nikiwemo. Baada ya kipindi hicho cha miaka miwili akampata mama mwingine kipindi...
  5. fizo talent

    Kweli usije ukamjaribu mtu ktk kitu kinachoitwa pesa

    Naam wakuu habari za weekend, Ktk maisha hususani haya ya kibongo ukiamua kutumia pesa km kipimio cha kumpimia mtu,hasa ukitaka kujua yupi ni mwaminifu na yupi si mwaminifu haki ya nani kwenye watu mia unaweza ukampata mmoja ama usimpate kabisa. Habari ipo hivi ktk eneo nililopo nafanya...
  6. fizo talent

    Ni sahihi kwa mzazi/mlezi kuanza kumfundisha mwanao

    Habari za weekend wakuu, Najielekeza ktk mada moja kwa moja je,ni sahihi na inafaa kwa mzazi ama mlezi kumfundisha mwanao juu ya taaluma uliyonayo ama biashara. Mfano mzazi/mlezi uwe unajishughulisha na shughuli iwe za muziki,sanaa iwe ni muigizaji ama uchoraji ama uwe ktk nyanja ya ufundi...
  7. fizo talent

    Nini asili ya haya majina na maana yake

    Habari za weekend wakuu.. Najielekeza ktk mada moja kwa moja kuna haya majina ambayo hutumiwa sana au huitwa sana watu wanaotokea mikoa ya kaskazini mwa Tanzania hususani wanaofanya biashara ya kuuza duka. Majina yenyewe ni km haya yafuatayo hapa chini; >>>MANGI >>>SHIRIMA >>>BWASHEE Kuna...
  8. fizo talent

    Jumamosi ya Sabato:Siku niliyoingia majaribu sijui ningeonwa ningefanywa nini

    Naam,habari za mwisho wa juma wakuu,leo nimekumbuka moja kati ya siku ambayo itakua ngumu sana kuisahau ktk maisha hususani nikikaa na kukumbuka purukushani za ujana hasa likija suala la kusaka papuchi ama mwenza wakati wa ujana. Nisiwachoshe nimekumbuka miaka 15 iliyopita ktk harakati za...
  9. fizo talent

    Utaanzaje kumshauri rafiki wa hivi au utamuacha apambane na hali yake

    naam wakuu km heading inavyojieleza, Nina rafiki ambae amehamia maeneo ya kitaa nilipo yapata miez miwili.Jamaa kaingia kwa pupa kitaa maana kanasa kwa manzi ambae ni mdangaji wa hatari na huyo manzi ni mshari hatari.Jamaa ukikaa nae mnapiga stori fresh ila sumu yake anakwambia yeye hana siri...
  10. fizo talent

    Darasa kwa njia ya picha

    Mjumbe hauwawi
  11. fizo talent

    Uongo upi unaoukumbuka uliambiwa wakati ukiwa mdogo na ulijua ni ukweli

    Naam wakati tukiwa ktk maombolezo ya ndugu zetu waliopoteza maisha ktk ajali iliyotokea ktk ziwa victoria ikihusisha kivuko cha MV Nyerere.Mungu azilaze roho za marehem mahala pema peponi Aamiin. Tukija ktk mada wakati tukiwa watoto wadogo hususani ktk kipindi ambacho hujaanza kung'amua mbivu na...
  12. fizo talent

    Ni wakati gani sahihi wa kumpata mwenza wa maisha (hapa namaanisha mke)

    Naam habari za weekend,nijikite ktk mada moja kwa moja ambayo inazungumzia ni ktk kipindi gani utakua sahihi kumpata mwenza wa maisha. Nakuja na mada hii baada ya kukutana na changamoto ktk maisha yetu hasa upande wa jinsia ya kiumeni.Hii inatokana na ukweli kwamba ktk harakati za maisha...
  13. fizo talent

    Ulianzaje kumgharamia binti/msichana/mwanamke uliyenaye?

    Naam wakuu muda mwingine hujikuta umeingia ktk kumhudumia/kumgharamia msichana/binti/mwanamke pasipo kujua ulianzaje. Lengo ni kujuzana km kuna makosa ambayo tunayaingia na changamoto zake na raha pamoja na karaha zake. Binafsi nakumbuka wakati naanza mchakato wa life la kujitegemea nilidate...
  14. fizo talent

    Kinachoendelea ktk tamasha la Komaa Concert ktk viwanja vya Tanganyika Pakers

    Mzee wa Bwax na Man fongo tayari washafanya show na sasa ni zamu ya Mesen Selekta Saa 11:53 Yuda msaliti anapanda jukwaani Host wa show FIDO NA SAMMY LOVE wanatoa zawadi ya Bull condom kwa watu watano walionyoosha mikono kujipatia bidhaa hiyo Saa 13:35 Shetta anapanda jukwaani,hana shangwe...
  15. fizo talent

    Wachawi kusafiri kwa kutumia ungo ni jambo la kweli au habari za kusadikika?

    Naam jioni njema Let me go straight to the point. Hili suala limekuwa likinitatiza sana kwa kipindi kirefu. Jambo hilo ni uchawi ama ulozi hususani katika idara ya usafiri. Je, ni kweli wachawi (walozi ama wanga) huwa wanasafiri kwa kutumia ungo kutoka sehemu moja hadi nyingine? Mfano...
  16. fizo talent

    Asante Snura kwa show ya bure ndani ya Friday Night Live ya EATV

    Karibuni tuburudike ktk show ya snura ndani ya EATV japo akiwaga kwenye show zenyewe zinakuaga ni shida zaidi ya hapa
  17. fizo talent

    Wenye nursery hamuwasaidii watoto wetu bali mnawaongopea wazazi na walezi wa watoto

    Habari wanabody, Km heading ilivyotangulia baadhi ya shule za awali maaruf kwa jina la nursery zimekua zikifanya ulaghai kwa watoto na wazazi na sina uhakika km anaepanga tatizo ni mmiliki wa kituo ama walimu wanaotoa huduma. Tatizo la msingi ambalo nimelifanyia research kwa eneo...
  18. fizo talent

    Tuwe makini na mafundi simu wa Kariakoo baadhi yao ni wezi wa kutupwa

    Kuna jamaa kapigwa tecno L9+ kama utani maana kamkuta jamaa ana kimeza kama mnavyojua mafundi simu wa town na tatizo lake lilikua ni camera basi fundi akamwambia tatizo linarekebishika gharama ya camera ni elfu 20 jamaa akatoa hela akampa fundi akaambiwa amsubiri anaenda dukani kununua hiyo...
  19. fizo talent

    BATTLE: Vitu Original vs Vitu vya mtumba (used)

    Habari wanajamvi Km kichwa cha habari kinavyojieleza kumekuwapo na wimbi kubwa hususani ktk nchi yetu ya Tz ya biashara ya vitu vilivyotumika almaarufu kwa kwa jina la vitu vya mtumba ama vitu used,kwa upande wa vitu original (nimetumia neno original kwa kua sijapata kiswahili chake sanifu}...
  20. fizo talent

    Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

    Habari za mwanzo wa juma wanajamvi Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe makini wakati kitovu kitakapoachia kisiangukie sehemu ya uume kwa mtoto wa kiume na kisiangukie sehem...
Back
Top Bottom