Search results

  1. M

    USHAHIDI WA BOMU: Wanasheria wauunga mkono Msimamo wa Mbowe na CHADEMA

    Jeshi letu la Polisi halina weledi,mbona ipo wazi Mbowe hatatoa ushahidi,wakubali tume kama wapo clean.
  2. M

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Mnyika umeeleza vizuri sana,swala si elimu ya mtu,hao wenye elimu wamefanya nini.Chapa kazi mkuu
  3. M

    Bumbuli Development Corporation announces new board of directors

    Let us wait and see,Dr. Munga kweli yupo Lushoto lakini hafahamu sana changamoto za watu wa Bumbuli,Dr Najimu kidogo amekulia Bumbuli na anafahamu mazingira yetu. Ingependeza tungeona sura za wana Bumbuli,Cv za hawa wana Board kweli zinamvuto ila kwa faida ya nani,fedha zinapatikana hata kwa...
  4. M

    Bumbuli Development Corporation announces new board of directors

    Let us wait and see,nina mashaka makubwa sana na hii project,inawezekana lengo ni zuri ila utekelezaji wake.
  5. M

    Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

    Mungu ni mwema,dhuluma na Haki ni kama maji na mafuta.Kila la kheri kamanda Lema,wao wana magari ya kuwasha sisi tuna Mungu
  6. M

    Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

    Kwenye sheria ya ardhi hakuna sheria inayompatia diwani wala meya kugawa ardhi,ardhi imekasimiwa kwa kamishana wa ardhi,swala la madiwani wa chadema kujigawia ni uzushi.labda ulete ushahidi ila kumbuka diwani naye ni mwananchi na ana haki ya kupata ardhi kama wananchi wengine
  7. M

    CHADEMA wamlima Rais Kikwete Barua juu ya mauwaji katika mikutano yao

    Sijaona tatizo kwa nini Rais asipewe barua kama amekaa kimya,kwa chama makini nilazima kiweke rekodi zake sawa juu ya matukio yanayogusa masilahi ya wananchi,nadhani pia kwakuwa Rais wetu ni muungwana atawajibu Chadema,na sisi tutajua kwanini Rais amekuwa kimya.
  8. M

    Ujenzi wa Barabara ya maziwa-External kwa kiwango cha lami waanza @JJMnyika

    Mh hongera sana barabara hii ni muhimu sana na itapunguza sana foleni
  9. M

    Ni nani huyu Lameck Madelu Mkumbo??

    Dr Kitila Mkumbo jimbo linakusubiri hata Lameck Madelu anlijua hilo
  10. M

    JAJI MKUU atua Arusha kwa Lema

    Kuna taarifa kuwa kesi imeahirishwa ila itapangwa kwenye session hii ya mwezi wa tisa mwenye tarehe kamili atuwekee hapa
  11. M

    Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute

    Namkubali sana Patrick Rutabanzibwa ni moja ya makatibu wakuu wenye uwezo pote alipopita mawaziri wanapata naye tabu sana hasa wanapoleta siasa kwenye utendaji.Kwa hili la Malawi inawezekana atakuwa aliwajengea msingi mawaziri kabla hawajakutana unless wasingekuwa na cha kuongea
  12. M

    Daktari mmoja aanza kuhamasisha mgomo baada ya kufiwa na mwanawe

    Pole sana Dr Mungu akutie nguvu kwenye hiki kipindi kigumu.Watanzania tuamke hapo ni MNH huko uswekeni hali inatisha jamani tuacheni mchezo,hawa watawala bila show ya maana hawatabadilika
  13. M

    Fujo za Iramba: Waliofanya fujo wanatoka Dar (soma majina)

    FJM nakubaliana na wewe,maswali hayo wakiya jibu Mwigulu lazima awekwe ndani
  14. M

    Bunge la ahirishwa hadi kesho

    Bunge limeahirishwa hadi kesho asubuhi hii nikutokana na ajali iliyotokea hapo jana
  15. M

    Bunge la ahirishwa hadi kesho

    Mh. Waziri mkuu,kampuni ya AGROSOL imefanikiwa kuchukuwa eneo kule Lugufu karibuni hekta 10,000,lakini taarifa za uhakika ni kuwa kampuni hii ni ya kitapeli na ndiyo maana wabia wengine wameamua kujitoa
  16. M

    Dr. Mkumbo aula UDSM

    Hongera Dr,wewe ni kati ya wasomi wanao simamia misimamo yao,wewe si mnafiki kama wale jamaa wa REDET.
  17. M

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Anahusika au vinginevyo,damu iliyomwagika haitaenda hivi hivi,Get well soon Dr Uli
  18. M

    Hakuna klabu ya Sudan iliyowahi kuifunga Simba

    Mtoa mada ametoa takwimu zake,wengine mnaleta maneno,tafuteni taarifa then mje
  19. M

    Anguko la January Makamba

    Ndugu zangu wa Vuga,Soni,Bumbuli,Mgwashi,na Mahezangulu,mbunge wetu hataki wafujaji wawajibike aibu hii ni yetu,tumekuwa na tatizo la kujipendekeza kwa wageni huu ni mwanzo tu!!!!!
  20. M

    Zitto na Halima wamwita January Makamba mnafiki

    January ni mbunge wangu ingawaje sijampigia kura kwa baba yake alihakikisha hakuna wakumshinda,baadae nitasema mengi ila kwa hili watu wataanza kumfahamu,alitumia fedha nyingi kuupata ubunge,muda mwingine si kila kitu lazima u-comment,amejishushia heshima,kwa maana nyingine anatetea wezi.
Back
Top Bottom