Search results

  1. ngulinho

    Baada ya kunikula kanichunia

    Ngoja kwanza; Kwa hivyo wewe ulikuwa mama bikira?
  2. ngulinho

    Mwanamke wa kunipa mtoto tu

    Yaani kwa umri huo wa 40+ bado hutaki kuoa? Like seriously!?
  3. ngulinho

    Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

    Kwa hivyo uliamua wewe na michepuko tu? Mwanzoni nilidhania mama j ni mkeo....kumbe nae ni mchepuko pia??
  4. ngulinho

    Kwa mara ya kwanza nimebahatika kulala na msanii wa bongofleva

    Kabla mdada umwone kwa tv fahamu kashapitia mengi.
  5. ngulinho

    Sheria za miaka 30 kwa jinsia ya kiume kufungwa kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi au binti aliye zaidi ya miaka 15 imepitwa na wakati

    Na kwani nini yeye akubali wakati anajua vyema ni mwanafunzi? Alafu wenye kufungwa sio hao waliowabikiri hao wadada. Vitoto vyenyewe vimalaya tu.
  6. ngulinho

    Startimes wameondoa 'free channels'

    Nadhani hiyo kampuni ya startimes ndio makubaliano yao ya kuwa " subscription ikiisha basi unaruhusiwa kuendelea kutizama channel inayomilikiwa na serikali." Nasema hivi maana hata huku +254 wanatuachia KBC na guide". Bure kabisa!
  7. ngulinho

    Nimepata mpenzi mpya, nampatia pesa anaikataa, hivi ananipenda kweli?

    Hiyo inaitwa kwa lugha ya malkia "Time Bomb"...
  8. ngulinho

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Pole sana kwa mkasa. Nasikitika siwezi kukishauri ufanye hili wala lile. Wengi watakupea ushauri wa kumwacha na kumbe wao wanaishi na watoto wasiokuwa wao pengine hawajui. Ukiona hadi mimba katungwa basi haikuwa jambo la mara moja. Hao ni wapenzi tayari. Na huyo njemba labda kashajulishwa...
  9. ngulinho

    Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Kwa hivyo wewe kama mwanasimba sc unakiri mlihonga na kununua mechi misimu minne iliyopita?
  10. ngulinho

    Serikali yawataka Madereva kununua mafuta kwenye vituo vinavyouza Bei rahisi ili kushamirisha Ushindani. Soma bei kwenye Bango vituoni!

    Kwani ndugu zangu huko Tz hakuna tume ya ku-control bei ya mafuta? Yaani kila kituo kinaweza kuuza bei itakayo? Hiyo itakuwa hatari kwa mwananchi.
  11. ngulinho

    Geita: Mwanaume ang'ang'aniana na mke wa mtu wakiwa gesti

    Kuna kisa chochote mtu aliwahi sikia au kuambiwa kutokea ughaibuni cha watu kusakamana? Hapa hakuna cha sayansi wala nini.... Uchawi tu. Huwa ni jini linakuvuta huko ndani.. 😁
  12. ngulinho

    Mpaka Sasa hakuna Katuni ya kufurahisha Kama Tom na Jerry

    Hata animations nazo wameanza kuweka gays... Hawa jamaa hawaaminiki tena!
  13. ngulinho

    Hivi utajiri na maisha mazuri vinapatikana vipi?

    Ebu nieleze unaanzaje kuwaepuka?
  14. ngulinho

    Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Nimeona tu title nkahisi mtoa mada ni yule yule aliyedai kumla nesi mweusi... Kumbe kweli. Nitarudi kuisoma baadae kama nkipata muda.
  15. ngulinho

    Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Kwa hivyo unatuarifu ulizini sio?
  16. ngulinho

    Kala vizuri na Lodge nimelipia ila Kagoma kunipa Mbususu

    Pole sana. Yanatokea sana hayo. Kabla ya kupanga chumba ulikuwa umemjulisha? Alafu mbona guest house?
Back
Top Bottom