Nilishangaa sana hotel ya laki na nusu nimeenda hakuna dawa ya mswaki, mswaki wala ndala, nilipopiga simu wakasema wao hawatoi hivyo vitu, na ni hotel kubwa tu pale mjini unguja
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mkuu, kwanza hongera sana kwa majibu mazuri kwa muuliza swali nadhani akiyazingatia haya atakua kwenye nafasi nzuri sana ya kufanya vizuri,
Pili, nimekua mfuatiliaji Sana wa maelezo/majibu Yako kuhusiana na namna ya kujibu haya maswali ya usahili, uliwahi kuleta Uzi nadhani ni mwaka jana au...
Mkuu Jane Lowassa, tuanzie kwa upande wako kwanza,,je wewe unafahamu kuongea hiko kiingereza kwa ufasaha?.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.