Search results

  1. Quinn

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Mzee wetu, nasikia kuwa kwenye hiyo miaka kabla ya Vita uchumi wetu wa Tanzania ulikuwa juu kuliko hata Kenya, ila baada ya vita ndo uchumi wetu ukapitwa na kenya hadi leo, je kuna ukweli hapo mkuu?
  2. Quinn

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Mzee wetu wewe ni shujaa...na tunashukuru kuja kutupa historia nzuri ya Taifa letu, Vijana wengi hatujui wapi tulipotoka. Shukrani mzee achana na hawa Mbu tasa wanaokejeli na kupinga pasipo maana
  3. Quinn

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Wakenya[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yeah, ni zile flyovers mbili za uhasibu na Chang’ombe kwenye mradi wa BRT phase II
  5. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Umu wakenya wanaugulia kimya kimya...ila uko twitter ndo wanatema nyongo zao kuwa hali yao ni mbaya[emoji1787]
  6. Quinn

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Doooh...this is very bad for kenya
  7. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Marofa ayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..hayajielewi ndo maana wanadondosha helicopters zao daily..wako nyuma technologically ndo maana diesel train yao wakaita bullet train[emoji1787][emoji1787]...ona sasa anajiquote
  8. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dodoma bus terminal Ona wakati wa usiku mataa yanavyo waka..it is so spectacular....Wakenya embu onyesheni stendi ya mabasi kama hii
  9. Quinn

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Aisee hujaona mvua zilivyo athiri huu mradi, kuna rafiki yangu ni mhandisi kwenye huu mradi yaan kile kipindi cha mvua walikuwa wanakaa hadi wiki kazi imesimama, Mvua ikinyesha mara moja basi wanakaa wiki nzima. Mvua zilianza toka october mwaka jana hadi May mwaka huu, ndo maana hadi serikali...
  10. Quinn

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Oya endelea kutuma screenshots mkuu[emoji1787][emoji1787]
  11. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Few days ago I received an email from a friend about Standard Chartered Bank forecasts on the African Economies. The Bank listed 10 largest economies in Africa and did a simulation for 2030 using current growth rates. I immediately glanced into the report to find out how big Tanzanian economy...
  12. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tunapoelekea yaan ikifika mwaka 2025 basi mapato ya TRA yanaweza kugonga Trilioni 2 kwa mwez
  13. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya bhana, yaani nyie kila siku mnadondoka uko angani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sio mnaonesha magorofa wakati wananchi wenu wa chini wanafanya biashara kwnye mazingira mabovu, ayo majengo wanaenda kukaa watu wenye hela tu ambao ni wachache yaan mnazidi kuongeza gape la walionacho na wasio nacho. Ona Tanzania inavyo jenga mazingira bora na mazuri kwa wafanyabiashara wadogo...
  15. Quinn

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mi nasubiri vitu kushushwa pale bandarini...huu uzi utawaka moto
  16. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya na kama hamujui, BOT inaweka utaratibu mzuri wa kununua dhahabu ambazo zitakazokuwa purified na Gold refineries za ndani, wanasubiri Gold refinery ya mwanza na ile ya dodoma zianze kazi ianze kununua kupitia shirika lake la STAMICO hvyo kutaifanya TZ kuwa nchi ya kwnza na ya pekee Afrika...
  17. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nyie mumekwisha..Nchi ishapoteza muelekeo yaan mnaomba mkopo kulipa madeni. Hapa ukiwaambia wakenya watume masoko yao ya kisasa kama haya yanayojengwa TZ watabaki kutuma shopping mall[emoji1787][emoji1787]...ukiwauliza je mlala hoi ataenda nunua nyanya shopping mall..[emoji1787][emoji1787]
  18. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sasa hilo linamsaidia nini mwananchi mnyonge maana hao ndo wako wengi kwenye nchi zetu. Pambaneni na kuinua kilimo maana tumechoka kuwalisha, pelekeni maji vijijini na mijini, sambazeni umeme vijiji vyte, boresheni huduma za Afya. Yawezekana iliandikwa kuwa kuna muda utafika mwana Tanzania...
  19. Quinn

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna uzembe umefanyika Maabara na kupelekea Watu kuambiwa wana corona wakati hawana >> tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara...
Back
Top Bottom