Search results

  1. BADILI TABIA

    Achali/pilipili ya mbilimbi

    Habari zenu humu wapishi Naombeni namna ya kupika mbilimbili za pilipili.... ziwe tamu na zisioze upesi. (Ukiacha hii ya nyanya pilipili na kuanika juani daily) Nahitaji techniques mpya..... haswa ziweze kukaa muda mrefu Wenye mauzoefu mtiririke plz Mwisho:::: Hivi kuna soko la mbilimbi...
  2. BADILI TABIA

    Inawezekanaje mtu kusema ameolewa bila kufunga ndoa na mwanaume?

    Habari zenu, Hivi mtu anaposema ameolewa lakini hajafunga ndoa ana maana gani? Hii ni ndoa ya namna gani? Naomba mnieleweshe maana naona uzee huu unanifanya nisielewe mengi ya mjini, halafu muhusika alivyovurugwa nikimuhoji sana anashusha kichambo na povu tu.
  3. BADILI TABIA

    Naomba ujuzi wa kupika choroko

    Habari zenu wapishi Mie sio mpenzi wa choroko...lakini kuna mahali nilikula choroko tamu mnooooo Bahati mbaya sikuweza kuoata recipe na nimetamani Hapa nimenunua choroko zangu.... Naomba wa juzi wakupika hizi mtupie maujuzi Nataka ujuzi wenu kwanza kabla sijamconsult mrgoogle...maana...
  4. BADILI TABIA

    Tanesco mmerogwa na nani?

    Nimekuja zangu sehemu fulani wilaya ya Temeke kusimamia mafundi kazi moja iliyohitaji umeme........ Kufika naambiwa TANESCO wazee wa kuangaza maisha wamekata umeme toka saa tisa usiku.......kuwapigia TANESCO wanadai kuna hitilafu hawajui iko wapi hivyo hawajui kama watarudisha au la...
  5. BADILI TABIA

    Nguo za mitumba

    habari zenu wandugu...... Kwa wenye utaalamu wa biashara ya mitumba nahitaji elimu yenu....wapi nitapata mabalo ya mitumba 1st grade? Ambapo hakuna kupigwa famba? Au jinsi ya kutambua grade nzuri? Natanguliza shukrani.....
  6. BADILI TABIA

    Chit chat bado ipo?????

    hivi humu ndani mpoooo? Nimewamiss mjue? Maisha tu yamebana halafu nimezoea stress za siasani kidogo (nafanyisha moyo mazoezi)..... Nawatakia weekend njema..... Hugs za pekee zimwendee mume wangu Asprin (kaadimika kama makalio ya nyoka) na wake wanzangu cacico Yummy (walahi kapotea ) na...
  7. BADILI TABIA

    Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

    umofia kwenu..... Nimekaa nalo hili toka mchana...... Kaka zetu vipi jamani? Hata kujipenda kidogo? Unakuta mwanaume, msomi na masters yake ananuka uvundo? Ananuka kutu? Ananuka kama maharage yaliyochacha? Hivi hamjinusi? Au hiyo harufu mnadhani ni perfume? Mwanaume unavaa shati moja...
  8. BADILI TABIA

    Kwa wanaume wa jf...

    napenda msome maneno ya wimbo huu kwa makini....... Woman" I worked late but you didn't wait up My bones ache, I'm cleaning the place up Sometimes I don't even know why I care I sit down take off my make-up I lay down but you don't wake up Sometimes I wonder if you know...
  9. BADILI TABIA

    Kuku wa kuoka

    MAHITAJI kuku 1 mkate vipande upendavyo swaumu(thomu) tangawizi vinegar pilipili ( napendelea black papper grounded) vijiko viwili vya curry powder (simba mbili is the best) MAANDALIZI - osha kuku wako kwa kutumia vinegar (hii hukata shombo ya `kuku kwa sie tusiopenda harufu), mwaga...
  10. BADILI TABIA

    Nini kinakurudisha kwa mkeo?

    habari zenu wapendwa, binafsi hili ni swala ambalo nimeliona likitokea ila sijalipatia jibu. Sijui kama lilishajadiliwa humu au la na kamchina kangu hakawezi kusearch..... Ni hivi inakuwaje kwa wanandoa, hususan mwanaume anatelekeza familia yake miaka kadhaa, hata kumi..... Ila akishafika...
  11. BADILI TABIA

    Chachandu ya nazi

    mahitaji 1. Nazi 2. Punje kadhaa za vitunguu swaumu kadri upendavyo 3. Karoti 4. Corriender leaves 5. Pilipili 6. Ndimu /limao 7. Maji kiasi kuna nazi, grate karoti, menya swaumu , katataka vipande bya korienda, pilipili tia vyote kwenye blenda, kamulia limao au ndimu za...
  12. BADILI TABIA

    Kiu jamani kiu

    nina kiu mie jamani kiu kiu kiu....... Kiu imenibana jamani.......... Kiu inanitesaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kiu inaniumizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kiu niifanyajee? Tena kiu ya leo ipo wazi kabisaaaaaa, inataka amarula tu..... Haitaki chochote zaida ya amarula, haitaki savana wala...
  13. BADILI TABIA

    wabongo mpunguze unene

    unakaa kwenye bus na mtu mnene kama tufe, mpaka tunachoreana mstari,mambo gani haya! Mifuta na minyamanyama yote hiyo ya nini? Unene sio sifa, eboo
  14. BADILI TABIA

    Boss wako akikuudhi unamfanyaje?

    kichwa cha habari chahusika...... huyu binadamu aliyeko mbele yangu kwa ngazi moja nimfanyaje? ndo maana wengine wanarogwa, maana akiondoka kiti chake nakalia kero zinaisha...
  15. BADILI TABIA

    Hivi wanachofanya hawa wawekezaji ni sahihi?

    mwekezaji Abraham wa Monduli anyunyuzia dawa /sumu kwenye majani iliyosababisha ng'ombe kadhaa kufa, na watoto 38 walazwa, baada ya kula nyama hizo ya ng'ombe . Pia inasemekana swala na punda wafa baada ya kula majani yaliyonyunyuziwa sumu. Source : Itv
  16. BADILI TABIA

    Kama una tabia hii uache

    Mtu mzima, [tena usikute msomi na degree zako kadhaa kichwani] unaingia chooni, iwe choo cha umma au binafsi, iwe ofisini au kituo cha basi unakuta choo kisafi, kinang'ara, unaachia mkojo ukimaliza unaondoka bila kuflash ilhali maji yapo ya kutosha......... Halafu mkojo wa...
  17. BADILI TABIA

    jirani yangu huyu

    yaani hapa nimenuna kweli kwelì! Baada ya kusaka usingizi muda mrefu ulipoanza kukolea jirani yangu amerudi! Na usingizi wangu umekata! Jirani huyu sijui amefunga spika za matangazo kwenye gari yake? Au ana matatizo ya kusikia? Anafungulia mziki mnene mpaka roho inadunda. Ingawa...
  18. BADILI TABIA

    Hala hala madereva weekend hii

    kautafiti kangu(sitaki kuulizwa kuhusu data nk) kamebaini kuwa jumamosi na kipindi hiki cha mpito kuelekea sikukuu.............. Utasimamishwa na tra waangalie kama umelipa ushuru... Utapigwa mkono na trafiki acheki triangle na kadi.... Kuna vehicle inspecta lazima wafanye kazi yao...
  19. BADILI TABIA

    Wanaume- umeiandaa vipi familia yako pale utakapofariki?

    Habari, wanaume mje tusemezane.... hivi ukifa leo umeiandaa vipi familia kukabiliana na maisha? na kama una watoto wadogo ambao wanakutegemea umeandaa vipi maisha ya watoto mara utakapotoweka? je watoto watasoma? watakula? wataishi kwenye nyumba gani? wakiugua hospitali itakuwaje...
  20. BADILI TABIA

    MSAADA: maumivu ya tumbo!

    habari jf doctors naombeni ushauri tafadhali. Nasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo upande wa kulia mpaka karibia na kitovu, vikiambatana na kichefuchefu na kukosa hamu ya kula. Nikaenda Tumaini hosptl kucheki wakaniambia sina kidole tumbo, figo, maini vipo okey hakuna tatizo. Lakini...
Back
Top Bottom