Search results

  1. unique one

    KWA wale wafugaji wa samaki karibun jamvini

    Iyo link ujaiona Ndugu [emoji115]
  2. unique one

    KWA wale wafugaji wa samaki karibun jamvini

    Iyo apo Ndugu Kazi kwako [emoji115] [emoji115] [emoji115]
  3. unique one

    KWA wale wafugaji wa samaki karibun jamvini

    Aquatic doctors 4rom anyw
  4. unique one

    Find your true love

    Kivip [emoji6]
  5. unique one

    KWA wale wafugaji wa samaki karibun jamvini

    Wakuu Mimi ni mjasiriamali ni nae taman kuanza kilimo cha uvuvi japo sijui mengi lakini naamini Ninyi mwafahamu mengi zaidi maana Mimi ndo kwanza naanza Sasa Niko Na wenzangu Wengi tuu wenye NDOTO Kama zangu Tumewaza tukaona tutengeneze group LA watsup linalo jumuisha wadau wote wa uvuvi ili...
  6. unique one

    Find your true love

    Watu Wengi wamekuwa na wapenzi zaidi ya wawili Hii ni ishara ya kuwa wote alionao awe mwanaume au mwanamke amewatamani tuu Hakuna na upendo wa kweli ndani *true love * Na tabia hii imewafanya Wengi kushindwa kumjua mpenzi wake wa kweli wa kufa kufaana Utasikia kidume kikisema nataka demu...
  7. unique one

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Wakuu Asanthen Sana KWA mashauri yenu sasa nimeshawasili Udom Na usahili Unaenda vyema Udom..... Home of knowledge
  8. unique one

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Imetoka Mkuu Batch 3 is already out
  9. unique one

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Tuko weng twende tuu Mkuu tukakngee nao tutawalipa taratibu hata Kama wakikata boom yetu Powah tuu lakini kisomo kinaenda mwanzo mgumu ila mbele raha Mchumia juani...... .....#malizia [emoji6]
  10. unique one

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Asanthe sanaaaaa Mkuu umenipa moyo alhamic Nakuja dom
  11. unique one

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Wakuu kwa college ya natural science and math nikiwaomba wanipe one month nikamilishe Ada ya halafu malipo mengine yote nikawakamilishia at the day of my reporting Je will they offer me that chance
  12. unique one

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Mkuu swali Langu mshiko wa zile contribution zip za muhimu sanna ambazo nisipo lipa no registration
  13. unique one

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Mkuu weka bei mezan tujipange kabisaaaaa maana mshiko sio wakuspend bila mahesabu siku hiz
  14. unique one

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Wakuu naweza kupata makazi ya hosteli kwa mwezi mmoja kwasababu kwa sasa sijui Kama Nita weza kulipa vyote KWA hiyo napiga chini direct cost nipange halafu Nita ilipa after one month je hizo hostel zipo Na Kama zipo unafuu wake ukoje
  15. unique one

    Another loan boards available

    Fomu yao ya maombi si ndo hiyo
  16. unique one

    Another loan boards available

    Swali je itatoka sooner
Back
Top Bottom