Search results

  1. K

    Electronic Passport hupatikana kwa muda gani?

    Jamani na kwa sisi tunao renew za zamani zineisha muda wake tunahitajika kuwa na vitu vyote ivyo? Nahitaji kwa ajili ya kusafiri binafsi
  2. K

    Nyumba inauzwa Dodoma mjini ina kila kitu

    Vipi ina Hati?
  3. K

    Lukuvi ulikiwa unakusanya kodi ya majengo ili uje utubomolee nyumba?

    Jamani kusema kweli Kama alivyoelezea alieanzisha uzi huu hii nchi kila mahali kupata documents za kumiliki ardhi ni changamoto kweli.. Na kupata Vibali vya ujenzi ndio usiseme.. Nafikiri mheshimiwa waziri angeanza Kwanza Na kurekebisha hii mifumo iweze kusaidia wananchi ndio aanze kuwabomolea...
  4. K

    Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Tusibishane Mimi na wewe watakuja watu wengine wa izo sehemu nilizotaja kuthibitisha kama kweli mvua imenyesha leo au la Mimi Niko singida saivi
  5. K

    Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Uongo upi sasa na niseme uwongo ili iweje? Na saivi Niko singida kwa taarifa yako nako mvua imenyesha nayo useme ni uongo
  6. K

    Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Nimetoka babati Niko katesh nasafiri, kote naona mvua zinanuesha.
  7. K

    Unakumbuka nini ukiwa 1st year kwa wiki ya kuripoti chuoni?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh nimecheka sana
  8. K

    Tujadili simu hii mpya ya TECNO

    Alafu anaishi kwenye chumba cha kupanga[emoji2] [emoji2]
  9. K

    Ndege za ATCL zaanza safari Mwanza - Dar

    kiukweli kwa mwendo huu ATCL hawatawaweza Fastjet juzi Mimi nimekata ticket go and return Mwanza Dar kwa sh laki tatu wakati ATC walikua 434,000/- tena wadada wenyewe apa kwenye ofisi za Mwanza ata customer service bado sana
  10. K

    Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

    Na ndio maana hatuchangii kwa kingereza kwani kiba alizuiwa kuongea kiswahili?? angeafunguka tu kw alugha mama na angejielezea vizuri tu na kwa nafasi kama mwenzake baraka the prince na mkalimani wake
  11. K

    Mwenye Gazeti la Daily news anisaidie

    wesema ni issue gani watu wakupigie picha wakutumie kirahisi apa badala ya kulitafuta manually.
  12. K

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni kweli ni aina ya gari chache sana Mshana na nashukuru Nimekaa nayo mwaka wa tatu sasa Ndo spare part ya kwanza nabadilisha.. Sijui ni ilala sehemu gani haswa.
  13. K

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau Nina vista ardeo station wagon ilipata ajali naulizia bei ya cross member yake used sh ngapi
  14. K

    Natafuta wauzaji wazuri wa matairi

    Wakuu habari.. natafuta mahali apa dar wanapouza matairi mapya kutoka japan, thailand au US ya magari pa uhakika..
  15. K

    Kati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi

    Achana na Dr we we unampelekea mkeo na unamuacha ndani wewe nje na akimaliza kumuona mkeo unamshukuru... Bado tu umuheshimu
  16. K

    Hivi hata tecno telecommunication wapo ktk mobile world congress kule barcelona?

    Dah twende mbele turudi nyuma techno mkombozi....ao wabishi wa Samsung taratibu wataelewa tu with time kwamba wanaibiwa na wakorea
  17. K

    Be Forward Tanzania huyu mtu wenu wa mapokezi atawafukuzia wateja

    braza ni kweli kabisa na ndio sababu wabongo wengi hatutoboi tukipata sehem nzuri ya kufanya kazi nyodo kbao dharau utafkiri iyo kampuni ni ya kwake au ya baba yake, mm mwenyewe ni mhanga wa iyo ofisi paka ilibidi niagize kwa kutumia tradecarview.. Kavp nenda ukaonane na boss kuna wajapan pia...
Back
Top Bottom