Search results

  1. Atropine

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Piga simu NHIF uwaulize. Hayo ni matokeo ya kitita kipya kilichosifiwa sana na CCM. Hovyo kabisa.
  2. Atropine

    Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

    Chakushangaza mahusisiano ya watu wa aina hiyo hua yanadumu muda mrefu kuliko yale ya watu walio serious. Ukitaka kufurahia mapenzi pata mwenza ambae chemistry zinaendana.
  3. Atropine

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Asante mkuu nimekuelewa. Next week nitakucheck tufanye jambo.
  4. Atropine

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Naomba kupewa elimu kidogo. Hivi hizi Iphone zinazotengenezwa China zina specifications na Quality sawa na Iphone za Marekani?
  5. Atropine

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Inshallah, nitafanya kazi na wewe siku si nyingi.
  6. Atropine

    Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Hauwezi kua mzalendo wa kweli ukiwa CCM. Watu wapo CCM kwa masilahi yao binafsi. Hata Lucas mwashambwa anaifagilia CCM kila siku sababu kuna mchongo anausikilizia.
  7. Atropine

    Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    Ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake . 🤣🤣🤣🤣🤣
  8. Atropine

    Diamond Platinumz ni mwanamapinduzi wa kweli ni zaidi ya msanii

    Kavaa suruali au shela! 😳
  9. Atropine

    This account cannot use WhatsApp

    Mkuu ulipata solution?. The same issue happens to Me. WhatsApp messenger imegoma kua installed kwenye simu yangu.
  10. Atropine

    Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Nakuunga mkono mkuu. Zanzibar ni state yenye sovereignty. Hizo nyingine ni danganya toto.
  11. Atropine

    Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

    Maisha ya kiafrika hayana formula kabisa. Unaweza pambana sana na usitoboe mpaka unakufa. Kosa kubwa ni kuishi kwa kujifananisha na walio fanikiwa badala ya kujifunza kutoka kwao . Matokeo yake ni kupata depression na matatizo ya afya ya akili. Muombe MUNGU sana, fanya kazi kwa bidii, focus...
  12. Atropine

    Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Sehemu ambazo gharama za maisha ziko chini sana ujue mzunguko wa pesa uko chini pia.
  13. Atropine

    Wimbo wetu wa Taifa tuufanyie maboresho au tutunge mpya kabisa

    Ile sehemu ya "Mungu wabariki viongozi wetu", napendekeza iwe "Mungu wateketeze viongozi wetu mafisadi". Naomba kuwasilisha.
  14. Atropine

    Hotuba iliyoleta mapinduzi Gabon

    Kwa Nchi yetu ukitoa hotuba kama hiyo kesho yake utafunguliwa kesi ya ugaidi, uchochezi na kujaribu kupindua serikali.
  15. Atropine

    Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

    "Hii Nchi wapinzani walituchelewesha sana. Nichagulieni viongozi wa CCM nilete maendeleo." Alisikika Mwendazake. Washaanza kupigana wenyewe.
  16. Atropine

    Mnyika: Mbunge anayejitangaza Bungeni yeye ni CHAWA wa Mama atawezaje Kuisimamia Serikali? Mwendazake alituweza sana 2020!

    Bunge la Magufuli limekua bunge la hovyo haijawahi kutokea. Hayati atuombe msamaha Watanzania.
  17. Atropine

    Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  18. Atropine

    Upinzani Tanzania ni dhaifu na Kibogoyo

    Kua kiongozi wa upinzani Tanzania ni stress tu. Unawateteaje watu waoga na wasiojiolewa!! Watanzania waliopiga kelele swala ya bandari ni mamilioni, lakini waliojitokeza hadharani kwenye maandamano ya kupinga ubinafsishwaji wa bandari ni 6 pekee [emoji23][emoji23][emoji23] Halafu bado kuna...
  19. Atropine

    Tigo yaongoza kwa simu za kitapeli Report ya Quarter ya 3 TCRA

    Ni kweli kabisa mkuu, sikuhizi vijana wengi wanapenda tigo. Ila kuna baadhi ya wazee wanapenda tigo pia. Mimi katika maisha yangu yote nimeamua kupenda vodacom pekee [emoji16]
Back
Top Bottom