Search results

  1. devor

    Nahitaji kuanza kutumia pombe

    Hahaha aisee
  2. devor

    Taswira za marehemu huacha kumbukumbu za kutisha

    Kanisa litakua sana hio ni kafara ya kwanza kwenye hilo kanisa
  3. devor

    Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Mpumbavu mmoja kabendera kwaio alitaka tufanyenye na mwendazake kaenda zake
  4. devor

    Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Magufuri ndio baba wataifa tunae mkumbuka akilini mwetu
  5. devor

    Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Magufuli nikiongozi bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili.yaani hata mumchafue vipi amewakuna kunako takiwa kwani kumkamata kiongozi wa mafisadi nizambi
  6. devor

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Katika mapendekezo alio pendekeza mh hayati magufuri. Askofu gwajima ni chaguo sahihi kwa kweli si msariti kabisa
  7. devor

    Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

    Inategemea Ni nyumba gani unataka
  8. devor

    Jifunze kuhusu "choice theory"

    Ase! Madini haya buree mchana kweupee ila raia wamekimbia kichwa cha habari
  9. devor

    Jinsi ya kumrudisha mtu aliyeuliwa na wachawi

    Masharti mepesi namna hio wabongo kuamini inakua ngum Sana labda ungesema tukalale makaburini ila hayo mepesi ongeza mengine
  10. devor

    Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

    Haha sema jamaa alitaka kutoa onyo nafundisho mwishowe yeye ndio kawa mfano wa kuigwa sasa
  11. devor

    Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Alo ww ndio Mh Rais wa jamuhuli ya muungano"?!
Back
Top Bottom