Search results

  1. Tulizo

    Natafuta mtu wa kutengeneza Sign Board

    Je kuna mtu anaweza kutengeneza Sign board ya kutangaza biashara. Inbox please.
  2. Tulizo

    Wapi naweza pata vifaranga vya kuku wa kienyeji?

    Natafuta vifaranga vya kuku wa kienyeji. Please inbox kama unavyo.
  3. Tulizo

    Natafuta Professional Photographer (One time Job)

    Eneo ni Kinondoni Dar es salaam, kama uko interested nitafute Inbox..
  4. Tulizo

    Natafuta Professional Photographer (One time Job)

    Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing. Nitafute inbox kama uko interested. Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing. Nitafute inbox kama uko...
  5. Tulizo

    Natafuta Professional Photographer (One time Job)

    Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing. Nitafute inbox kama uko interested.
  6. Tulizo

    Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    Poa Mkuu.. However, you can read between my lines. You need to be there i.e. in North Korea. It is a very secretive country + people are so intelligent labda kuliko unavyoambiwa na hao "investigative journalists"
  7. Tulizo

    Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    Kiongozi.. Kuna vitu hapo kwenye list yako ni vya kweli (vichache) na kuna vitu ni propaganda za Marekani na vibaraka wake. Fact: Kujua what is going on in North Korea unatakiwa uwe umeishi kule. Yaani umeishi kule kama resident na sio kutembelea siku, wiki au kusoma news kupitia vyombo vya...
  8. Tulizo

    Ni swali gani ambalo hupendi kuulizwa?

    4. Are you Nigerian?
  9. Tulizo

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mkuu umeandika vizuri .. asante sana.. Ila ningependa kuongezea kitu kimoja. Sio mara zote unatakiwa uendeshe pole pole ukiwa katika barabara kuu. Kuendesha pole pole kunaweza kukusababishia ajali mbaya sana. Fuata alama za bara bara barani na unatakiwa kukimbia kwa kasi ambayo unaweza...
  10. Tulizo

    Eneo linauzwa Kimara, Temboni

    Kama nimeelewa vizuri ramani hilo shamba litakuwa la kwake kutokana na Id yake. Mzee wao alikuwa mmoja wa wazee wa zamani sana eneo hiyo. Nadhani aliitwa Mzee moja moja kutokana na kumiliki gari lenye namba TZ 11. Wadau wenye hela changamkia ofa hiyooo..!
  11. Tulizo

    Deal Nataka Hilux pick up ya 1997-99

    Ninayo.. Ni inbox Ila nasimama kwa 3 million sio chini ya hapo.
  12. Tulizo

    Nataka kuagiza gari na AUTOREC

    One of the best..Gari zao ni reconditioned kuliko hao wengine wanaleta Kama zilivyotumiwa.. Bei yao iko juu kuliko wengine lakini magari yako Poa
  13. Tulizo

    Do we need to add anything ?

  14. Tulizo

    Martin Kadinda

    Nimekusoma KakaKiiza nitakutafuta... pale pale :peace:
  15. Tulizo

    Martin Kadinda

    KakaKiiza hiyo hapo juu kweli?
  16. Tulizo

    Girlfriend wangu kanitumia hela bila kumuomba

    Ukitaka jibu la mtihani .. Bila woga na kama chizi mpigie simu yule shemeji yako wa uongo na umwambie huyo bint amelalamika kwako kuwa wamegombana na pia kwa sasa yuko free..hana boyfriend etc... Then angalia reaction ya bint... akifurahia hatua hiyo unaweza songa mbele.. akikasirika basi huna...
  17. Tulizo

    Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Watu wengi wanashambulia kama wao ni malaika. Anyway, balima hiyo issue ishakuwa historia. Ukirudia tena unataka mwenyewe au umependa. ila kumbuka Uchumi ni mtego mzuri unaotumiwa na wanaume waroho na malaya. Mtego wa uchumi wanaingia wengi hata wasio na hatia.. Dawa ya yote ni JITEGEMEE...
  18. Tulizo

    Twiga wa Ki-Tanzania wanaoishi nchini DOHA ZOO IN QATAR-

    Hizi zoo ni ukatili wa wanyama.. hakuna nyasi hapo..hakuna purukushani za simba na michezo yao ya kukimbizana... Ni sawa na kumtoa Mmasai Loliondo kwenye ng'ombe zake na maziwa ya mtindi ..na kumpeleka Las Vegas akale Burger..
Back
Top Bottom