Search results

  1. Pacbig

    Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

    Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates...
  2. Pacbig

    Malalamiko yangu kwa Wizara ya Elimu

    Nchi zinazoendelea zina ushamba mwingi sana wa utoaji wa elimu. Kwa bahati mbaya hata wenye mamlaka wanaendesha elimu kishamba vilevile. Hivi kuna ugumu gani wakituruhusu watu turekebishe baadhi ya masomo tuliyofeli katika vyeti vyetu kwa kurudia mitihani. Tofauti na huu utaratibu wa sasa wa...
  3. Pacbig

    Namba ya simu nisiyoifahamu imesajiliwa kwa kutumia kitambulisho changu

    Wadau poleni na pongezi kwa mapambano ya kimaisha ya kila siku. Nikiwa katika harakati za kutuma maombi ya sensa. Nilipomaliza kujaza detail na kuzituma, taarifa kutoka kwenye mfumo ikasema namba yangu tayari imeshatumika (namba ni ya vodacom). Sikuwaza sana maana nilijua shida ni nini. (...
  4. Pacbig

    Kirusi kipya cha HIV kimegunduliwa Uholanzi

    Nimeikuta hii habari kwenye ukurasa wa Millard Ayo. Kirusi hicho ni hatari zaidi ya kile cha mwanzo. Kinashambulia kinga za mwili mara mbili zaidi ya kile cha awali. Mpaka sasa hakuna dawa wala chanjo ya hicho kirusi. Corona inasuasua, hapa tusipokuwa makini tutapatikana. === Wakati dunia...
  5. Pacbig

    Ushauri: Nahitaji kujiondoa kutoka kwenye "comfort zone"

    Habari wadau wa Jamiiforums. Natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Kabla sijaenda kwenye lengo kuu la uzi huu, ningependa nianze kuelezea kwa kifupi maana ya comfort zone ili kuwafahamisha wachache ambao inawezekana hawafahamu maana yake. Comfort zone ni hali ya mtu kuridhika...
  6. Pacbig

    Nimeingia mwaka mpya nikiwa nusu mfu.

    Shukrani za dhati zimwendee mwenyezi Mungu kwa kunisaidia kuingia mwaka mpya. Kiukweli kwa sasa naishi kama nusu mfu.Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa sina uhakika kama nitaweza kuiona siku ya kesho.Naishi katika msongo mkubwa wa mawazo ambao sijawahi kuupata katika maisha yangu yote.Inaelekea...
  7. Pacbig

    Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

    Kwanza poleni na majukumu ya kusaka ugali wakuu.JF ni mtandao unaotukusanya watanzania na wasio watanzania wenye kazi,sifa,itikadi,fikra,mitazamo na karba tofauti tofauti.Humu kuna walimu,wahandisi,Madaktari,Machangudoa,Wanasheria,Wanasiasa,Wadananda,Mapaparazi etc Leo ninawaomba wachawi wote...
  8. Pacbig

    Nipeni maoni yenu sijui ndo naenda kuchunwa

    wadau kuna manzi moja ya ukweli nasoma nayo chuo niliirushia mistari ikazingua nikaipotezea. Nashangaa sasa hivi imenitumia txt inataka kuongea vingi sana na mimi.Nachowaza huyo demu ana boom ila round hii kacheleweshewa kwa sababu alipata sup.sasa sijui ndo naenda kuchunwa Naomba maoni na...
  9. Pacbig

    Jinsi ya kupata uongozi jela.

    Rejea maada tajwa hapo juu mimi nahitaji kujua njia zinazotumika kupata uongozi ukiwa jela wanawaita manyampara. Kwa wenye uzoefu karibuni hii ni serious.
  10. Pacbig

    Nataka kujiendeleza kielimu naomba msaada wa haya

    Ndugu JF members poleni na majukumu.mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Sebastian kolowa Memorial university nasoma bachelor of education special needs upande wa hearing impairments. Ninatamani kuja kusomea ideology katika level ya masters degree.hasahasa huko Scandinavian...
  11. Pacbig

    Acheni kuamini vitu vya zamani ni vizuri kuliko vya sasa.

    Katika pitapita zangu nimegundua mambo ya zamani mara nyingi (japo sio zote) huwa yanapendwa kuliko ya sasa sijui sababu ni nini.ngoja nitoe mifano. Ukileta battle ya mfano Mr bean vs Charlie Chaplin watu watakuambia Chaplin mkali.japo wamemuona zaidi Mr bean. Ukileta battle ya Messi vs...
  12. Pacbig

    Ufafanuzi wa Maana ya Mwanaume wa Dar es salaam.

    Kuna mijadala imekuwa ikiletwa humu JF kuhusiana na wanaume wa Dar.Lakini haijaeleweka Mwanaume wa Dar ni yupi hasa.wengine wanadai ni mwanaume yeyote anayeishi Dar.Wengine wanadai ni yule aliyezaliwa na kukulia Dar,maana kumbuka wengine wametoka mikoani na wanaishi Dar.Sasa sijajua waliozaliwa...
  13. Pacbig

    Jamaa anajuta sana kwa hili,Wewe je unajutia nini?

    Katika maisha kuna wakati unafanya maamuzi lakini mwisho wa siku pasipo kutarajia,Maamuzi hayo yanatoa matokeo mabaya mara nyingine ya kuumiza sana unabaki tu kujutia. Niliwahi kupewa story na brother mmoja ambaye mama yake alikuwa mtu wa huzuni nyingi na masikitiko makubwa kwa sababu aliolewa...
  14. Pacbig

    Naomba ushauri na Majibu kuhusu hii personality yangu isiyopendwa na wengi

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili nimekuwa mtu mwenye personality inayobadilika sana kwenye maisha yangu.kuna kipindi nilikuwa mtu mchangamfu na muongeaji sana specifically kuanzia primary level mpaka form two ila kuanzia form three mpaka leo nimekuwa na aibu aibu na mpole na...
Back
Top Bottom