Never give up
The dude deserved to be the prezzo long time ago, but amedhurumiwa sana.
Sio mbaya katika kupambana kwake amefanikiwa kupata hata uwaziri mkuu.
Shoot for the moon if you miss you will land amongst the stars.
Ni rahisi sana kuzungumza.
But one thing, Ndugu ambaye yupo tayari kukuzunguka kwa demu wako na anajua kila kitu maana yake hakupendi, hakujali, mbinafsi, mpumbavu. Mpaka hapo hakuna haja ya kuendeleza udugu wa kinafiki
Sijui walikutanaje ila nahisi bro aliiba namba kwenye simu yangu. Kwa sababu siku ile nampa aongee naye alipomaliza aliniomba simu yangu atumie kucopy namba.
Kaka yangu plus huyo binti they are all jerks. Unajua angeliwa hata na jamaa msiye na nasaba ningeona kawaida ila sio kaka wa tumbo moja kabisa, na anajua kila kitu
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.