Search results

  1. X

    Udom imegeuka jangwa.

    Naona nyie mamlaka ya maji mnataka ku2fuzisha, kaen tena had kesho muone
  2. X

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    Kaka hongera bunduki yako mali sana zaid ya madini, tafuta mitindo ya kui2mia utawakimbia wanawake
  3. X

    UDOM vs UDSM

    Nyote mnaobisha akil zenu zinafanya kazi zimechuchuma. Tatizo sio kusoma chuo kinachojulika au kisichojulikana ile wewe umetoka na nini kichwani?
  4. X

    Field Allowances for Udom Students Ready

    Samito nimekupima akili nimegua yafuatayo. 1. Bado maisha yako yanategea wazaz (unakula bure), 2. Hauna ufahamu wowote juu ya mfumko wa bei (economic inflation) 3. Haujui kufanya tathimin katika nyakat. Nb. Rudi darasan usome tena
  5. X

    Barua ya wazi kwa mweshimiwa Dr Slaa na Rev Mtikila

    Sioni sababu ya dr kuwapeleka mahakaman, kwa kuwa anaehukumu kesi ni mteuliwa wa babake (kesi ya mifupa usiipeleke kwa fisi). Dr tutangazie uma tutumie nguvu zetu kuwachomoa hao nya*n, inauma saana kiongoz wa juu kutuhumiwa afu ushindwe kujitetea
  6. X

    UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    Mkubwa angalia ktabu na maisha ni tofaut sana, ila nashukuru mungu umezaliwa bongo ungezaliwa mbele ingekuwa shda. Acha upuuzi
  7. X

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    Gosbert qoodluck nawe toa point zako kama unaona Dr hana hoja, nahofia sana ushirikiano wako wa akili huenda ubongo wa mbele, wakat na nyuma havina ushrkiano (zimechuchumaa)
  8. X

    Nape na posho za Wabunge

    Thankx wabunge wa kg kwa kujitambua kabla serikali haijawatambua. Pamoja mnaweza
Back
Top Bottom