Search results

  1. M

    DAR vs ARUSHA wapi kuna ughali au unafuu wa maisha?Special thread njoo ujifunze kitu hapa

    Unajua bei ya Samaki Mwanza iko juu kuliko hata Arusha? Swala la shule za English hilo ni nchi nzima na sio Arusha. Kwani Dar wao wanasomesha shule za Serikali?
  2. M

    DAR vs ARUSHA wapi kuna ughali au unafuu wa maisha?Special thread njoo ujifunze kitu hapa

    Arusha Maisha yalikuwa ghari kipindi cha ile Mahama ya Rwanda Mauaji ikifanya kazi. Wale wafanyakazi ndo walipandisha maisha ya Arusha. Kwa sasa hakuna kitu kama hicho. Arusha vyakula ni bei ya chini mno. Kuanzia Ndizi, Nyanya, vitunguu, karoti, michele na kadhalika. Vyumba vya kupanda...
  3. M

    DAR vs ARUSHA wapi kuna ughali au unafuu wa maisha?Special thread njoo ujifunze kitu hapa

    Acha porojo leta Data kwamba Dar Mchele ni sh kadhaa na Arusha ni sh kadhaa. Viazi gani unazungumzia? Usha wahi kaa Arusha au huwa unasimuliwa?
  4. M

    Watoto wa Putini wakiwa kwenye Parade.Urusi ni shida

    Urusi ni Noma hiyo ni Parade ya leo pale Red Squre.
  5. M

    Hili suala la network ya LUKU TANESCO warudishe mita za zamani!

    Hawa jamaa ni kama wameshindwa kazi. Network inasumbua sana na ni kila siku sasa. Warudieshe mita za kusoma zile kama Techonolojia imewashinda.
  6. M

    Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

    Mkuu wewe kwani huna ushauri hadi okamas na jamaa ndo atoe?
  7. M

    Tanzania ya viwanda: Rais Magufuli afungua kiwanda kikubwa cha kutotolesha vifaranga Ihemi, Iringa

    Kwa watu wanao fuga kuku watakuwa wanafahamu hili kwamba Silver Land wapo Tangu 2014 wakizalisha Vifaranga. Wana mbegu yao maarufu sana inaitwa SASSO sasa nilivyo ona ikizinduliwa leo kwa kweli nimeshangaa mno. Nazani oko kwenye orodha ya vile viwanda 3000 na. Ninacho ona kwa sasa kuna Double...
  8. M

    Serikali Imedanganya tena Juu ya 1.5 Trilioni, RECEIVABLES na PAYABLES ni Chanda na Pete, Havitengamani

    Watanzania wapi?.sema kwa Nini mimi na Familia yangu tumekataa kuamini Zitto na CDM,
  9. M

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Imekuwaje? Make wengine huku tunapambana na mafuriko hivyo hatujafuatilia
  10. M

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Watu muna mida sana, halafu cha ajabu wamiliki wa hizo TV na Radio wao huwa hawazitazami kabisa na wala kuzisikiliza
  11. M

    Nikikumbuka vita nilivyopigana kuzuia utapeli wa Forex nashangaa wanaolia

    Jamaa mmoja nakumbuka alisema Ogopa sana kushikiwa akili kwenye maisha yako.watu walishikiwa akili na Mcanada
  12. M

    Mbunge wa Buyungu, Kasuku Bilago Samson(CHADEMA): Serikali shule binafsi zinawahusu nini, ni wivu tu

    Si kuna shule za Serikali?,kama huko Private ni ghari sana peleka mtoto shule ya Umma
  13. M

    Gari jipya la Rais wa Urusi ni balaaaa!

    Acha ujinga. Unashinda humu kutetea sikui nani ana Private jeti mbili. Sema wewe au ukoo wenu ni lini mtakuwa na ya kwenu? Unatetea wanaume na pesa zao utazani mna ukoo naye. Acha ujinga kabisa dogo
  14. M

    G7 wajikusanya dhidi ya Urusi, na watoa onyo kali

    Uko Songea vijijin unawezaje kujua Gharama za vita? Je walisha toa gharama ukaona ni kubwa sana na hawawezi kuhimili?
Back
Top Bottom