Bwana njaa ww ni fala tu. Magufuli alitaka kummua Lissu. Hicho kitweet wala sio chake ni wasaidizi wake wakizuga. Kaa na nja yako ya mpka kichwani
Magufuli was a devil. period!
Hivyo ni vitu, yeyote yule anaweza fanya. kwani ndio zahanati za kwanza nchini? Utu kwanza, hata tembo anaweza kunya jivi kubwa ukaliita flyover. Anyway, poleni sana washirika wa uovu.
Yeye yuko kaburini. Angekuwa anatenda haki, kwa yote aliyokuwa anafanya angekuwa mtu wa maana sana. Kwa tuliyopitia, tunashindwa kumtafautisha na shetani.
OOh basi usilaumu watu, hata hivyo hakuna aliyeleta korona. Kuna mmoja alilazwa kwa kupigwa risasi na mwingine kwa kupata korona, yote ni mazila hakuna wa kulaumiwa.
Wewe naye mshamba wa kisukuma. ANC walikimbilia Tanzania tukawahifadhi pale Mogogoro hapa juzi leo hata hujui hayo! Hii vita yetu ni ya makaburu meusi, yalivuka mpaka wa magharibi. Haya ya yana roho za nchi za jirani mpaka wa magharibi; kuua wao si shida.
Hii si Tanzania yetu ya kawaida, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.