Search results

  1. jumbenylon

    Kama Dr. J.P. Magufuli angekuwa mgombea binafsi, kidogo ningepata imani

    Kwa namna yeyote ile MAGUFULI ameshinda nafasi ya uraisi kwenye nchi hii. Vyama Pinzani (UKAWA) and those nje ya UKAWA. walisimama kidete kufichua machafu ya chama cha mapinduzi kupitia EDWARD LOWASA na leo CHADEMA Kwa mbwembwe kabisa wamempitisha LOWASSA kuingia kwenye chama chao and...
  2. jumbenylon

    Sababu 5 za kumfanya Lowassa kuhama CCM

    Nitawashangaa sana vyama vya upinzani wote kwa ujumla wao. Viongozi na wafuasi wakimpokea kwa shangwe ndugu Edward Lowassa kwenye vyama vyao baada ya kushindwa kutwaa nafasi ya kuwania urais kupitia ticket ya CCM. Kwani wapinzani Hao Hao ndio walioibua hoja ya wizi wa Richmond na EPA...
  3. jumbenylon

    Nahitaji website

    Please call 0714021078 or visit our office at msasani tower _ ground floor. Tribeking co. Ltd
  4. jumbenylon

    CANON 5D MARK lll INAUZWA

    Call me 0714021078
  5. jumbenylon

    Mtaalam wa graphics design anahitajika.

    . Mkuu sina online platform ya kuweka art zangu! But I'm working on it! Please provide me with your email nikutumie samples
  6. jumbenylon

    Mtaalam wa graphics design anahitajika.

    Hello! Here I am! Tuwasiliane through jumbenylon@gmail.com au Mob: 0714021078 looking forward to hear from you. Asante
  7. jumbenylon

    Kampuni za Insurance/ Bima

    Asante
  8. jumbenylon

    Kampuni za Insurance/ Bima

    Habari za leo wadau. Naombeni kufahamishwa. Je ni kampuni gani nzuri na ya uhakika kwa huduma za bima ya nyumba/ mali. Nahitaji kuweka bima kwenye asset za familia. Asante
  9. jumbenylon

    Macbook Pro 13"

    Nauza Macbook Pro! Ipo in good condition 13" screen 4GB Ram DDR3 320GB HD 2.3 Ghz Intel Core i5 OSX 10.9.2 maveriks. Price: 1,700,000/= Tshs. If you are interested, call 0714021078 au please inbox me.
  10. jumbenylon

    Dawa ya fungus za miguuni

    Dawa ya asili ni usafi tu! Wa soksi, viatu na miguu yako! Hakuna mazingaombwe hapo
  11. jumbenylon

    Gari aina ya vitz

    Ni PM ndugu au nitumie picha za gari kwenye whatsapp tuongEe zaidi 0714021078
  12. jumbenylon

    NATAFUTA GARI NDOGO KWA GHARAMA YA 3.5Ml

    Habari zenu wadau, naomba kupata msaada wenu. Nahitaji gari ndogo ya kutembelea, Budget yangu ni milioni 3.5. Iwe in good condition haijalishi registration namba gani! Kama unalo tafadhali weka picha zake na maelezo kidogo! Na mawasiliano! Au nitumie kwenye whatsapp kupitia 0714021078 au...
  13. jumbenylon

    Mac book pro iliyo katika hali nzur inahitajika!!!

    Ipo hapa Macbook Pro 13" core i5 Ram 4gb 320GB hd OSX Maverix nauza kwa 1.7mil. Call 0714021078
  14. jumbenylon

    Nahitaji laini za Airtel Money, M-Pesa na Tigopesa

    Nauza line zote za Airtel money! M pesa na Tigo! Gharama ni 1.5mil zote! Kama utahtaj call; 0714021078 au mail me jumbenylon@gmail.com
  15. jumbenylon

    Mwenye softwares hizi tafadhali

    Nipo na cs5 na cs6. Ila ni za MAC
  16. jumbenylon

    Ridhiwani Kikwete! Akishinda ubunge Chalinze nahama Nchi

    Kwa mahitaji ya usafiri uwe wa BASI, NDEGE, MELI, NA HATA TRENI Wasiliana nami! Jiskie huru! Si ulidhani kuhama nchi ni rahisi rahisi kama kuandika tu! Hama sasa!
  17. jumbenylon

    Kwaheri Meja Generali Msemwa

    Ni mpaka siku Mzazi wako, ndugu au mtu unayemfahamu vema afariki na watu kuanza kumsema vibaya au kukejeli kifo chake ndio utajua madhara ya kauli mbaya!
  18. jumbenylon

    Natafuta shamba bagamoyo!

    Piga simu nambari 0712678100 anaitwa George
  19. jumbenylon

    Naomba kura zenu

    Habari naombeni kura zenu, kwa kufungua hii link na kupost comment yako kwa kuandika HERUFI A ili kuniwezesha kuwa mshindi wa shindano la kuchora nembo (LOGO) ya #kuwamzalendo sambaza upendo tafadhalia ingia hapa...
  20. jumbenylon

    Naombeni KURA zenu.

    Habari zenu wandugu. Naomba kura zenu ili kuniwezesha kuwa mshindi wa mashindano ya kuchora nembo (LOGO) ya clouds fm #Kuwa mzalendo #sambaza upendo kwa kufungua hii link na kuweka comment yako yenye herufi A...
Back
Top Bottom