Search results

  1. IBRA wa PILI

    Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Mi natumia oppo na oppo karbu kila nnayo ona ina hiz feature ndani na pia kampun zingne pia baadhi zipo
  2. IBRA wa PILI

    Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Natumia oppo niweka nakuta notification za walio nitafuta iko safi kabisa labda SIM yako
  3. IBRA wa PILI

    Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Ulijaribu kwenye simu yako ika goma ? Je Una uhakika uliset vzuri
  4. IBRA wa PILI

    Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Akuna kitu kama icho kama uamini nikupe namba yangu upige Alaf leta mrejesho simu aisemi iko bize inakata yenyewe bila kuongea chochot uwe nime block au nimezuia call zote au namba mpya narudia kama uamini nikupe namba yangu piga Lete mrejesho hapa. Unajua watu wame Kalili mtu uki mblock basi...
  5. IBRA wa PILI

    Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Mkuu Saiz unaset simu yako Tu akuna tena shida ya *### sjui madudu gani Simu hiz za sasa Mambo bul bul we nenda SEHEMU ya call hapo ata uki mblock mtu unafunga na namba mpya akupati akitumia namba ngeni akupati Pia Una hamua Nani akupate Kwa kuwaweka VIP contact Lakini akikutafuta we utaona...
  6. IBRA wa PILI

    Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Unataka kususa suuuuuuuusa kudadeki susa wanaume hao we susaa susaaa mother Fanta in manara voice😆😆😆
  7. IBRA wa PILI

    TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Uliangali kupitia TV gani mkuu chogo au flati TV au Una matatizo ya macho? Kama ni ivyo pole baada ya kugonga Mwambia ule mpira ukadunda chini na kurudi juu beki wa mamelody akapiga kichwa mpira ukaelekea pembeni na kipa wa mamelody aka udaka 🆗 rude Ka review utaona
  8. IBRA wa PILI

    Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Kwaiyo jamii forum sio mtandaoni haya mtandao upi nikashuhudie iyo afrika ikilia yanga kutolew
  9. IBRA wa PILI

    Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Yani Leo umesahau Simba alifungwa goli ambalo clear offside na Orlando nchi iyo iyo na hatua iyo iyo na VAR ipo u wnjani na refa akwenda ata kureview kabisa umesahau dadeki na mwisho Simba akatoka Kwa penati The same imejirudia kwenu nchi Ile Ile hatua Ile Ile na mna ondoka Kwa penati umesahau...
  10. IBRA wa PILI

    Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

    Mmhh mi sija umia ndugu furahaaaaa Tele hapa ukizoea kuiba jua kuna kuibiwa pia via Kagera sugar Karma nchi Ile Ile hatua Ile Ile robo fainal Simba Vs Orlando, clear offside Orlando alifunga goli mshambuliaji mghana pape kwame alikua offside na VAR ilikuepo refa akwenda kuangalia VAR na...
  11. IBRA wa PILI

    Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Kwamba pale sudani na Somalia saiz wanalalamika yanga kudinywa na VAR AHAAAAAAAAAAAAAAAA AHAHAHHAHAHAHAJAJA😁😁😁😁
  12. IBRA wa PILI

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Sasa Una replay upuuzi gani raisi wa caf ana uhusiano gani katika goli? correction please (goli✔️) not gori❌ 🆗
  13. IBRA wa PILI

    Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Iyo kawaida Tu bob Orlando alifunga goli pale pale south yaaaaani nchi Ile Ile mechi na Simba clear offside VAR ipo na refa akwenda kureview uto walishangilia Simba wakaumia na mwisho Simba ana ondoka kwenye penati karma malipo ni hapa nchi Ile Ile inatokea kitu kama kile na mwisho mtaani ana...
  14. IBRA wa PILI

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Lakini injinia si mwenyekiti wa virabu afrika nae
  15. IBRA wa PILI

    Mashabiki wa Yanga bila dezo hawaendi uwanjani

    It's official now we call them BULE FOOTBALL CLUB
  16. IBRA wa PILI

    Priva ajichanganya kuelekea mechi ya Yanga

    BULE fc watakuja hap
  17. IBRA wa PILI

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leverkusen wamejua kunipa presha walichukulia gem poa wamenshnda 3_2 Kwa mbnde Sana dakk 6 za nyongeza wameokoa ef kumi yangu
  18. IBRA wa PILI

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu wamesawazsha zote 2 na kuongeza now 90 mnt
Back
Top Bottom