Search results

  1. Jumaaofficial

    Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha TV Channel

    Habar wanaJF Ningependa kujua ni bajeti ya kiasi gani ambayo unaweza kuazisha tv channel kama ilivyo Etv na Clouds. Naomba kuwasilisha.
  2. Jumaaofficial

    Malengo yangu ya kuweka Tsh 20,000 kila siku

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 elimu yangu kidato cha 4 katika harakati zangu za utafutaji wa pesa nimefanikiwa kuanzisha duka. Kiukweli mwanzo kipindi naanza hali ilikua ngumu sana kwani mtaji wangu ulikua mdogo, lakini namshukuru Mungu amenisaidia hadi leo biashara...
  3. Jumaaofficial

    Mrejesho kuhusu biashara yangu ya Duka

    Mod naomba mfute huu uzi
  4. Jumaaofficial

    Jack Ma: Mfahamu mmiliki wa Kampuni ya Alibaba

    Habar wana Jf. Mfahamu mmliki wa Kampuni ya Alibaba. Tofauti na watu wengi wakubwa katika ujasiriamali, kama ukimuona Bw. Jack Ma katika mitaa akiwa peke yake kuna hati hati kubwa kuwa huwezi kumtambua Hata historia yake kwa ujumla ni tofauti sana ukilinganisha na wajasiriamali wengine...
  5. Jumaaofficial

    Polisi wamezichukua simu za Faiza Ally kwa uchunguzi

    Habar wana Jf Katika watu waliogushwa na kitendo cha Faiza kupost picha ya Utupu mm mmoja wapo polisi wameanza kulifanyia Kazi
  6. Jumaaofficial

    Laini ya lipa M-Pesa inaweza kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wa miamala?

    LIPA KWA M PESA Habari wana JF, Naomba kuuliza laini ya LIPA kwa M PESA inauwezo wa kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wakupokea tena miamala. Je naweza kuitumia laini hii kama-bank yangu ya kuhifadhi pesa zangu kuna risk zipi zakuitumia laini ya lipa kwa M PESA kama bank...
  7. Jumaaofficial

    WEKA PICHA YA NYUMBA

    Habar wana JF, Weka picha ya nyumba unayo-ipenda. Dream house
  8. Jumaaofficial

    Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

    Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyoandaliwa na jarida la Forbes. Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni. Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya...
Back
Top Bottom