Search results

  1. Jumaaofficial

    Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha TV Channel

    Habar wanaJF Ningependa kujua ni bajeti ya kiasi gani ambayo unaweza kuazisha tv channel kama ilivyo Etv na Clouds. Naomba kuwasilisha.
  2. Jumaaofficial

    Malengo yangu ya kuweka Tsh 20,000 kila siku

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 elimu yangu kidato cha 4 katika harakati zangu za utafutaji wa pesa nimefanikiwa kuanzisha duka. Kiukweli mwanzo kipindi naanza hali ilikua ngumu sana kwani mtaji wangu ulikua mdogo, lakini namshukuru Mungu amenisaidia hadi leo biashara...
  3. Jumaaofficial

    Mrejesho kuhusu biashara yangu ya Duka

    Mod naomba mfute huu uzi
  4. Jumaaofficial

    Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

    Umechoka kuitwa Gogo kitandani pole sana. Naona vyuma vimekaza hata ukikataka kama mwali wakimakonde no money, izi-zama Jpm.
  5. Jumaaofficial

    Drywall na ujenzi wa kisasa

    Naona umekusudia kuharibu huu uzi, hoja yako haina mashiko. emekushika pabaya kwenye i phone.
  6. Jumaaofficial

    AZAM TV nawahama kwa kweli

    Tbc ndio channel ambayo haipo kibiashara inatumia kodi zetu kujiendesha so inapatikana bure. Lakini channel kama Itv, Star tv, clouds,nk hadi ulipie ndio unazipata kutokana na Azma Tv company wanazilipia zile channel ile ziwepo kwenye king'amuzi chao.
  7. Jumaaofficial

    AZAM TV nawahama kwa kweli

    Acha kudanganya Tbc ipo akam kawa
  8. Jumaaofficial

    AZAM TV nawahama kwa kweli

    Kila lakheri uwendapo
  9. Jumaaofficial

    Drywall na ujenzi wa kisasa

    me naona bora tofali Je mchwa wazishambulia mbao kunaukuta tena?
  10. Jumaaofficial

    Drywall na ujenzi wa kisasa

    Mada nzuri lakini mtoa mada umeshindwa kuja na nondo zakutosha. Apo nimeona mbao zinaitaji nyingi iliukuta uweze kusimama je ghalama za mbao na matofali zipi zipo Juu. na matels ya Drywall ghalam zake zipoje? Nimeona advantage za Drywall kwamba unapoziweka ww unapiga to Rangi mchezo unaisha...
Back
Top Bottom