Search results

  1. kinjekitile70

    Naomba app nzuri ya kupakua movies tafadhali jina lake

    www.goora.com Live stream na download
  2. kinjekitile70

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    P Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  3. kinjekitile70

    Plot4Sale Viwanja bei rahisi Kibaha kwa Mfipa (Upande wa chuo)

    Unazingua sana dogo Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  4. kinjekitile70

    Plot4Sale Viwanja bei rahisi Kibaha kwa Mfipa (Upande wa chuo)

    Unapiga pi ha nyumba za wanaume wenzako Bila kutoa credit Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  5. kinjekitile70

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Staftahi ndo nini mkuu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  6. kinjekitile70

    Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Shukrani mkuu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  7. kinjekitile70

    Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Nilikuwa namaanisha Force Kani F=Ma Ukitaka kuelewa hili vizuri soma vitu vinavyo accelerate constantly
  8. kinjekitile70

    Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Final velocity inakuwa zero pia sababu ya constant acceleration ya 9.8m/s² Kinacho umiza ni momentum kama alivyosema mjumbe (kani inayozalishwa na risasi kutua kwenye kichwa au mwili ) wa muhanga yaanj F=Ma M=mass ta risasi a=Acceleration due to gravity 9.8m/s²
  9. kinjekitile70

    Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Kitu kikiwa kinashuka kwa gravity maana yake kinakuwa na constant acceleration 9.8 m/s² ambapo initial Velocity (u)=Final velocity (v). Katika hali hiyo initial velocity U ya risasi inapoanza kurudi ni 0m/s. Sijui kama umepata mwanga kidogo.
  10. kinjekitile70

    UZUSHI UKIMWI hausababishwi na HIV, kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga

    Ni kweli UKIMWI husababishwa na HIV . HIV inapoingia mwilini hupambana na CD4 yaani Kinga ya mwili. Kinga ya mwili hutengengeneza antibody za HIV ambazo ndizo tunazopima ili kujua kama mteja yuko na maambukizi kwa kutumia kipimk cha SD BIOLINE. kama kipimo kikisoma negative mtu anakuwa hana...
  11. kinjekitile70

    Whatsapp community ni kitu gani?

    Subiri nimalizie chai nakuja hapo
  12. kinjekitile70

    Open School

    Niko mikoani ndani huku kaka
  13. kinjekitile70

    Open School

    Habari zenu wana jamvi natumaini ya kuwa mko wazima kabisa. Nahitaji kujua mahitaji muhimu katika kuanzisha na kuendesha Open school Na ni programme zipi hasa zinaruhusiwa kuendesha katika vituo hivyo. Naomba kama kuna mtu yuko na Experience yoyote kuhusu hili naomba tuwasiliane. Ahsanteni sana.
  14. kinjekitile70

    Utafiti: Wazee wa kiislamu wanaishi maisha marefu zaidi

    Mafarakano ni mengi sana lakini wanajificha kwenye kivuli cha dini. Wanawake hawaishi kwenda kwa waganga ki ukweli kiundani kabisa hao watu wako na depression
  15. kinjekitile70

    Interlinkages between climate change, peace and security

    Baadhi ya athari za usalama za mabadiliko ya hali ya hewa ni dhahiri zaidi na zinaonekana mara moja. Kwa mfano, visiwa vingi na maeneo ya ukanda wa chini wa pwani yako katika hatari kubwa ya vitisho vya kupanda kwa kina cha bahari, ikiwa ni pamoja na kuingiliwa na maji ya chumvi, mafuriko na...
  16. kinjekitile70

    Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

    Mwingine naye leo kakamatwa mbeya alichukua shilingi laki sita 600000 Awamu ya kwanza akaingia mitini Then awamu ya pili ya malipo akaja chukukua nyingine,hatimaye akaibukia mikononi mwa makarao kwa kula mali asiyoifanyia kazi [emoji1][emoji1][emoji1]
Back
Top Bottom