Search results

  1. T11

    HADITHI: FATINAH (Kama Kuna Njia Ya Kuingia, Kuna Njia Ya Kutokea)

    Na Gwamaka Mwamasage “Maestro" Mawasiliano: +255764806251 +255620152422 SURA YA KWANZA: NAITWA ALMAS HOBELA Hali ya anga ilikuwa tulivu kabisa, ni utulivu uliofanana na asubuhi ama jioni lakini sikumbuki vizuri yaani sifahamu ni wakati gani huo, kwa mbali tu nilisikia miungurumo ya vyombo vya...
  2. T11

    Epukana na hizi aina 6 za watu

    EPUKANA NA WATU WENYE SIFA HIZI 6 KWA AJILI YA AFYA YAKO YA AKILI Afya ya akili siyo kipaumbele kwa watu wengi kwa sababu wengi huamini elimu ya darasani inatosha Kama na wewe unaamini elimu ya shuleni pekee uliyohitimu inatosha kwa kila kipengele cha maisha yako basi upo kwenye upotevu. Afya...
  3. T11

    Kufuatia Kifo Cha Mpauko Nimejikuta Katika Tafakuri

    Wakuu Salaam, Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada husika. Jamii Forums ni jukwaa pana na pendwa sana hapa nchini tangu kuanzishwa kwake, sifa moja inayopelekea kupendwa kwake ni hali ya kuficha majina ambayo inawapa Uhuru watu wengi sana wa kutoa maoni yao ikiwemo kuelezea maisha yao binafsi...
  4. T11

    Wataalamu wa ndoto pitieni hapa

    Waungwana habari zenu, Kama kichwa kinavyojieleza, nina rafiki yangu amekuja kwangu leo asubuhi akidai anasumbuliwa na ndoto Anasema juzi ameota amepata matatizo kazini yeye na wenzake wakafungwa jela na hakumbuki ni tatizo gani lakini alijikuta tu ameshafungwa Leo asubuhi anasema ameota...
Back
Top Bottom